Hebu mtufafamulie wengine ni mashabiki wa soka lakini hatuelewi mnazungumzia nini hapa.Tuvute subira kidogo
Official league inaundwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu mtufafamulie wengine ni mashabiki wa soka lakini hatuelewi mnazungumzia nini hapa.
Hiyo 100k ya ushindi kila wiki mtu anashinda nini? Anashindana na nani? Na kwa namna gani?
Hebu mtufafamulie wengine ni mashabiki wa soka lakini hatuelewi mnazungumzia nini hapa.
Hiyo 100k ya ushindi kila wiki mtu anashinda nini? Anashindana na nani? Na kwa namna gani?
Usinicheke au ndio yale magemu wanacheza wanangu nyumbani kwenye play station! Sisi humu tutachezaje? Kwa kubashiri ushindi au[emoji23][emoji23][emoji23]
Unahitaji zaidi ya nusu saa mtu akupe shuleUsinicheke au ndio yale magemu wanacheza wanangu nyumbani kwenye play station! Sisi humu tutachezaje? Kwa kubashiri ushindi au
Kweli kabisa mkuu
Iundwe
Iwekwe code tufurahie mtanange
Hii itapendeza sana
Nmekupata hapo mkuu
Hebu mtufafamulie wengine ni mashabiki wa soka lakini hatuelewi mnazungumzia nini hapa.
Hiyo 100k ya ushindi kila wiki mtu anashinda nini? Anashindana na nani? Na kwa namna gani?
Unahitaji zaidi ya nusu saa mtu akupe shule
Usinicheke au ndio yale magemu wanacheza wanangu nyumbani kwenye play station! Sisi humu tutachezaje? Kwa kubashiri ushindi au
Nimetengeneza hii apa code 8sb3sf
Bado mdhamini tu ss
Fantasy Premier League, Official Fantasy Football Game of the Premier League fuata maelekezoYang sijaelewa kitu hata kimoja...mnieleweshe Basi nimalize mambo
Auto link hii Fantasy Premier League, Official Fantasy Football Game of the Premier LeagueEpl ndiyo ligi pendwa kwa ukanda wa Africa mashariki hivyo watu wengi wanaifuatilia.Tuendelee kujoin currently just for fun , tujitahidi kushare hiyo code .
JF fpl kwanza itangaza zaidi Forum lakini pia itakuwa burudani kwa members pia.
Anaweza tafutwa mdhamini kila gw winner akapata 100k kwa week 38 ni 3.8M wa jumla 1M na utaaribu wa mshindi wa mwezi ukaangaliwa.
Nawasilisha
HABARI OFFICIAL CODE YA JAMIIFORUMS FANTASY LEAGUE NI HII HAPAView attachment 2713387
Mkuu kwahiyo ligi zimekua mbili au?
Social media ipi wew ? Kwani si inahusisha Watu wa Jf au?Nadhani kesho tutashare kwenye social medias hii code 8sb3sf
Ni watu woteSocial media ipi wew ? Kwani si inahusisha Watu wa Jf au?
Source ya fund 100 k kwa week ni ipi?