Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Hebu mtufafamulie wengine ni mashabiki wa soka lakini hatuelewi mnazungumzia nini hapa.Tuvute subira kidogo
Official league inaundwa
Hiyo 100k ya ushindi kila wiki mtu anashinda nini? Anashindana na nani? Na kwa namna gani?