HOJA Kuna haja ya kuwa na vituo vya kulea wazee mikoa yote Tanzania

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao.

Kuna haja ya kuwa na makazi maalumu ya wazee katika kila mkoa ili kuweza kuwahudumia kwa karibu na kunufaika na maarifa yao.

Kuna kama makazi 13 ya wazee yanayomilikiwa na kusimamiwa na serikali na mengine 15 yaliyo chini ya sekta binafsi.
 
Yaongezwe na kuboreshwa,sivyo?
Watoto tumeshindwa kuwalea wazazi wetu wanapozeeka?Tumeshapitia na kujifunza faida na hasara za kuwaweka wazee wetu kwenye nyumba za kuwalea/kuwazeesha zaidi ili wangojee kufa?
 
mkuu tofautisha mtoto na mzee mtoto namlea kwa ajili ya future wengne wanawafathiri kuangalia faida ya baady tofaut na wazee
Kumbe hata hujaielewa mada,

Muwe mnaelewa mada kwanza,kuna wazazi wote wanakua wako busy au wameenda kazini,ndio hupeleka watoto wao Day care,the same ina apply kwa wazee,

Kwahiyo wewe huwezi kumlea mzee wako kisa hana future sio?
 
Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao.

Kuna haja ya kuwa na makazi maalumu ya wazee katika kila mkoa ili kuweza kuwahudumia kwa karibu na kunufaika na maarifa yao.

Kuna kama makazi 13 ya wazee yanayomilikiwa na kusimamiwa na serikali na mengine 15 yaliyo chini ya sekta binafsi.
Mmeshaiga ushoga Sasa mnataka kuwakataa na wazee wenu wakangaliwe na watu baki....
 
Nyie si ndo mnozaa vitoto viwili mnasema inatosha haya endeleeni na utamaduni wa kizungu hali ya kua ss tupo Tz kimfaacho mtu chake

Oooh mimi watoto wawili au wa3 wanatosha maisha magumu sanaa ksma ww ndo mtoa rizki matokeo yake ndo haya sasa
 
Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao.

Kuna haja ya kuwa na makazi maalumu ya wazee katika kila mkoa ili kuweza kuwahudumia kwa karibu na kunufaika na maarifa yao.

Kuna kama makazi 13 ya wazee yanayomilikiwa na kusimamiwa na serikali na mengine 15 yaliyo chini ya sekta binafsi.
Sahihi,ila Kwa wazee wanaojiweza,kiafya kama hawataki kukaa huko Wapewe pension Kama wastaafu.
 
Nazani asilimia kubwa ya watu ambao mpaka sasa hawajazaa, Wakizeeka watalelewa nyumba za wa wazee.

Sizani kama watoto wanao zaliwa saivi watakua na muda wa kukaa kaa na wazazi wao wakizeeka
 
Kumbe hata hujaielewa mada,

Muwe mnaelewa mada kwanza,kuna wazazi wote wanakua wako busy au wameenda kazini,ndio hupeleka watoto wao Day care,the same ina apply kwa wazee,

Kwahiyo wewe huwezi kumlea mzee wako kisa hana future sio?
 
Kumbe hata hujaielewa mada,

Muwe mnaelewa mada kwanza,kuna wazazi wote wanakua wako busy au wameenda kazini,ndio hupeleka watoto wao Day care,the same ina apply kwa wazee,

Kwahiyo wewe huwezi kumlea mzee wako kisa hana future sio?
nimesema hakuwezi kuwa na makampuni ya kulea wazee kwa sabab hiyo na hoja yangu hapo familia zao ndo ziweke uangalizi kwa wazee wao kwan ukiwa busy na kazi huwezi ajili mtu wa kumtunza mpaka umpeleke akalelewe kwenye vituo
 
Mbona Wazo zuri tuu mkuu!
Najua ni wazo zuri alivyolileta ndio changamoto... Aseee oyaaaaa... Yake sio maisha Mzee.... Kule kwa kulea wazee sioni kabisa faida yake kwa malezi Yale kwa wanaofahamu watanielewa. Bongo kulea tu yatima tumeshindwa hao wazee mtawaua mapemaaaaa ..... Uzuri nipo Mwanza na kati ya vituo 13 vya Serikali Tanzania mzima ... Mwanza tunavyo viwili oyaaa.
 
Nchi zilizoendelea ndiyo maisha yao haya.

Hakuna mtu aliye na muda na kulea wazazi wao wakishazeeka.

Unakuta kila mtoto yuko busy kukimbizana na maisha yake.

Mzazi ukishazeeka kiasi cha kushindwa kujifanyia zile ADL (Activities of Daily Life) basi unapelekwa huko centre za kulelea wazee.

Na sisi ndiko tunakoelekea.
 
Back
Top Bottom