Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Kila mzee ana mtoto?Familia za hao wazee ndo wangeweka uangalizi kwa wazazi wao!
Watoto wanaopelekwa Child Day care hawana wazazi?Familia za hao wazee ndo wangeweka uangalizi kwa wazazi wao!
wengne hawana ila asilimia kubwa ya hao wazee hupitia changamoto sabab siyo hawana watoto hukosa malez kutokana na watoto wao kutoku wajaliKila mzee ana mtoto?
Yaongezwe na kuboreshwa,sivyo?Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao.
Kuna haja ya kuwa na makazi maalumu ya wazee katika kila mkoa ili kuweza kuwahudumia kwa karibu na kunufaika na maarifa yao.
Kuna kama makazi 13 ya wazee yanayomilikiwa na kusimamiwa na serikali na mengine 15 yaliyo chini ya sekta binafsi.
mkuu tofautisha mtoto na mzee mtoto namlea kwa ajili ya future wengne wanawafathiri kuangalia faida ya baady tofaut na wazeeWatoto wanaopelekwa Child Day care hawana wazazi?
Kumbe hata hujaielewa mada,mkuu tofautisha mtoto na mzee mtoto namlea kwa ajili ya future wengne wanawafathiri kuangalia faida ya baady tofaut na wazee
Mmeshaiga ushoga Sasa mnataka kuwakataa na wazee wenu wakangaliwe na watu baki....Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao.
Kuna haja ya kuwa na makazi maalumu ya wazee katika kila mkoa ili kuweza kuwahudumia kwa karibu na kunufaika na maarifa yao.
Kuna kama makazi 13 ya wazee yanayomilikiwa na kusimamiwa na serikali na mengine 15 yaliyo chini ya sekta binafsi.
Sahihi,ila Kwa wazee wanaojiweza,kiafya kama hawataki kukaa huko Wapewe pension Kama wastaafu.Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao.
Kuna haja ya kuwa na makazi maalumu ya wazee katika kila mkoa ili kuweza kuwahudumia kwa karibu na kunufaika na maarifa yao.
Kuna kama makazi 13 ya wazee yanayomilikiwa na kusimamiwa na serikali na mengine 15 yaliyo chini ya sekta binafsi.
Tunatofautiana uwezo mkuu,Wazo lako ni nzuri na liheshimiwe!Familia za hao wazee ndo wangeweka uangalizi kwa wazazi wao!
Mbona Wazo zuri tuu mkuu!Mmeshaiga ushoga Sasa mnataka kuwakataa na wazee wenu wakangaliwe na watu baki....
Mmeshaiga ushoga Sasa mnataka kuwakataa na wazee wenu wakangaliwe na watu baki....
Kumbe hata hujaielewa mada,
Muwe mnaelewa mada kwanza,kuna wazazi wote wanakua wako busy au wameenda kazini,ndio hupeleka watoto wao Day care,the same ina apply kwa wazee,
Kwahiyo wewe huwezi kumlea mzee wako kisa hana future sio?
nimesema hakuwezi kuwa na makampuni ya kulea wazee kwa sabab hiyo na hoja yangu hapo familia zao ndo ziweke uangalizi kwa wazee wao kwan ukiwa busy na kazi huwezi ajili mtu wa kumtunza mpaka umpeleke akalelewe kwenye vituoKumbe hata hujaielewa mada,
Muwe mnaelewa mada kwanza,kuna wazazi wote wanakua wako busy au wameenda kazini,ndio hupeleka watoto wao Day care,the same ina apply kwa wazee,
Kwahiyo wewe huwezi kumlea mzee wako kisa hana future sio?
Najua ni wazo zuri alivyolileta ndio changamoto... Aseee oyaaaaa... Yake sio maisha Mzee.... Kule kwa kulea wazee sioni kabisa faida yake kwa malezi Yale kwa wanaofahamu watanielewa. Bongo kulea tu yatima tumeshindwa hao wazee mtawaua mapemaaaaa ..... Uzuri nipo Mwanza na kati ya vituo 13 vya Serikali Tanzania mzima ... Mwanza tunavyo viwili oyaaa.Mbona Wazo zuri tuu mkuu!