Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Nchi zilizoendelea kaka.... Sio hizi mpaka leo maji mtihani, umeme mtihani, barabara chenga, ajira mgogoro, madawa hospital chenga, vifaa tiba chenga ndio ulete huduma ya makazi ya wazee !?? Makazi ya polisi tu chenga ,magereza wanakaa kota za nyumba za tope....mtawatesa tu wazeeNchi zilizoendelea ndiyo maisha yao haya.
Hakuna mtu aliye na muda na kulea wazazi wao wakishazeeka.
Unakuta kila mtoto yuko busy kukimbizana na maisha yake.
Mzazi ukishazeeka kiasi cha kushindwa kujifanyia zile ADL (Activities of Daily Life) basi unapelekwa huko centre za kulelea wazee.
Na sisi ndiko tunakoelekea.
Hoja yako ni dhaifu sana,au inawezekana una lack of exposure kwenye hii issue,nimesema hakuwezi kuwa na makampuni ya kulea wazee kwa sabab hiyo na hoja yangu hapo familia zao ndo ziweke uangalizi kwa wazee wao kwan ukiwa busy na kazi huwezi ajili mtu wa kumtunza mpaka umpeleke akalelewe kwenye vituo
Kaka umefika hata kituo kimoja Cha Serikali ukaona maisha ya wale Wazeee!?? Sio maisha yale .... Hatujafikia kabisa uwezo huo... Labda vituo binafsi..... Vya Serikali!?? Bora muwauwe tu wanateseka sana kuleHoja yako ni dhaifu sana,au inawezekana una lack of exposure kwenye hii issue,
Hujulikani hata unachokipinga,unapinga Day care halafu hapo hapo unaleta issue ya kuajiri mtu akulelee mzazi wako!
Kwani wewe ukisikia vituo vya kulelea wazee,kwenye akili yako hua unawaza ni Jela sio? au unawaza ni sehemu ya mateso sio?
Good point J.Kila mzee ana mtoto?
Mimi ninachojadili hapa ni System ya kua na utaratibu wa kua na hivyo vituo,naamini kua sio system mbaya,na huyo niliyemquote,yeye anapinga System ya kua na vituo vya aina hiyo,Kaka umefika hata kituo kimoja Cha Serikali ukaona maisha ya wale Wazeee!?? Sio maisha yale .... Hatujafikia kabisa uwezo huo... Labda vituo binafsi..... Vya Serikali!?? Bora muwauwe tu wanateseka sana kule
Sawa mkuuNajua ni wazo zuri alivyolileta ndio changamoto... Aseee oyaaaaa... Yake sio maisha Mzee.... Kule kwa kulea wazee sioni kabisa faida yake kwa malezi Yale kwa wanaofahamu watanielewa. Bongo kulea tu yatima tumeshindwa hao wazee mtawaua mapemaaaaa ..... Uzuri nipo Mwanza na kati ya vituo 13 vya Serikali Tanzania mzima ... Mwanza tunavyo viwili oyaaa.
cyo jera but ni heri mzee akalelewa na familia yakeHoja yako ni dhaifu sana,au inawezekana una lack of exposure kwenye hii issue,
Hujulikani hata unachokipinga,unapinga Day care halafu hapo hapo unaleta issue ya kuajiri mtu akulelee mzazi wako!
Kwani wewe ukisikia vituo vya kulelea wazee,kwenye akili yako hua unawaza ni Jela sio? au unawaza ni sehemu ya mateso sio?
Umeona uliposema "huko ulipo" ..sio "huku tulipo sisi"..... Huko ulipo bado mnahangaika na maji safi na salama!?? Sasa sisi huku tunakunywa maji na ng'ombe kwenye malambo bado ndio unataka tutengeneze vituo vya kulea wazee!??Mimi ninachojadili hapa ni System ya kua na utaratibu wa kua na hivyo vituo,naamini kua sio system mbaya,na huyo niliyemquote,yeye anapinga System ya kua na vituo vya aina hiyo,
Huku nilipo hilo ni jambo la kawaida sana,sema wabongo watazowea tu polepole coz huko tunapoelekea na kwa kizazi hiki cha leo,vituo vya kulelea wazee itakua ngumu kuviepuka.
Ni kweli mkuu unachosema, ndio maana kama tunavyobanana na serikali iboreshe shule, hospital, barabara tubanane nao hivyo hivyo kuboresha hivi vituo kwasababu ni necessity.Kaka umefika hata kituo kimoja Cha Serikali ukaona maisha ya wale Wazeee!?? Sio maisha yale .... Hatujafikia kabisa uwezo huo... Labda vituo binafsi..... Vya Serikali!?? Bora muwauwe tu wanateseka sana kule
Wewe una amini kua ni wazee wote watapata tabu kwenye hivyo vituo kuliko tabu wazozipata sasa hivi huko mitaani?Umeona uliposema "huko ulipo" ..sio "huku tulipo sisi"..... Huko ulipo bado mnahangaika na maji safi na salama!?? Sasa sisi huku tunakunywa maji na ng'ombe kwenye malambo bado ndio unataka tutengeneze vituo vya kulea wazee!??
Na hapa ndipo wazazi wengi wanapokosea,mtoto toka mdogo unaenda kumtupa boarding,Na lazima watoto hao uwalee kifamilia sio uwapelekee boarding tangu wakiwa watoto
Good point J.
Na hata kama wanao, process za maisha hatujui nini kilitokea katikati inawezekana wawepo wasiwe willing kuwatunza wazee wao.
Wazee ni raia wa nchi hii, wameijenga kwa nguvu na kulipa kodi, serikali ifanye jambo.
Ziwepo tu, tutakaolea wazee wetu nyumbani tulee, watakaokosa mahali pakulelelewa walelewe huko.
wengne hawana ila asilimia kubwa ya hao wazee hupitia changamoto sabab siyo hawana watoto hukosa malez kutokana na watoto wao kutoku wajali
ni kweli kunaumhimu lakn serkali kunamikadi ming haijakamilsha mfano barabara kutoka mariny to irakar yaan ukipita hutamani tena kuludi rakin piah kunasehem hata maji safi hamnaHiyo sasa ni case nyingine,ya maamuzi ya mtoto kulea ama asilee
Serikali iweke tu hivyo vituo bila kujali