Kuna haja ya kuwazindika watoto wetu

Mambo ya mwendazake hayo...allah amlipe anachostahili wote tuseme aaamin shekh wangu...
 
Pole sana ndugu. Dar kwa ulozi hawajambo. Waliwahi nipofusha navuka ubungo mataa katikati ya barabara 2015. Namshukuru Mungu niliponea kwetu ila sitokaa nisahau
 
Vyote havigusiki isipokuwa simu na maji!
 
Kwa yeyote aliewahi patwa na haya maswaiba na akatatua mambo yake kama Mtoa Mada yaliyo mkuta naomba msaada wa huyo mtaalamu aliemsaidia,nahtaji mtaalamu haswaa kwenye mambo yangu,hasa ya Ulinzi wa mali na vitu vyangu.
 
Pole sana ndugu. Dar kwa ulozi hawajambo. Waliwahi nipofusha navuka ubungo mataa katikati ya barabara 2015. Namshukuru Mungu niliponea kwetu ila sitokaa nisahau
Hulikuwa huoni ama[emoji16][emoji16]
 
Hapo kwenye kushika simu na vitu vingine havishikiki imeniacha kimawazo
 
Wakati unapokea simu bosi hakuona simu inanyanyuka? Au na yenyewe ilikuwa haionekani...

Je ndoo uliyokuwa unanawia ilikuwa inaonekana?

Vyoyote vile wasiliana na mkuu ROBERT HERIEL mnaweza mkafanya kitu 🎬🎬
 
Yani mimi mtu akiniambia hakuna uchawi naweza kumrukia kichwa cha uso hiko matata sana yaliyonikuta hapana hapana chezea[emoji2955]

Baadhi ya watu wanasema haupo.. labda mpaka imtokee yeye mwenyewe
 
wenzio wanaenda na mafuta ya mwamposa na maji wanapaka kiganjani na kufungulia milango na makofulii

wenzio wanaomba dua kabla ya kugusa kitu chochote ofisini mwaoo

usirudie tena siku ingine kujifanya ujuii ila chai yako ina mdalasini mwingi sanaa

Kweli kweli kabsa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…