Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.

Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.

Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.

Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.

Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.

Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.

Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.

Mama anakuwa mtulivu kwa mambo yoote ila swala la Lissu na Katiba Mpya huwa vinamtoa kwenye line kabisa.

Sijajua shida ni nini
 
Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.

Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.

Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.

Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.

Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.

Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.

Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.

Sasa utamfananisha na yule aliyekuwa anasema mkanye mavi nyumbani kwenu?
 
Sawa kwa maoni na mawazo yako, lakini si wote tunamuona kama unavyotiririka hapa. Yupo vizuri tu kwa maoni yangu.
 
Mtu ambaye alikuwa anauweza urais na kujibu maswali tata ni Nyerere tu baada ya yy hakuna mtu
Siyo kila mtu anaweza kuwa kama Nyerere. Nyerere alikuwa hana mipasho kwenye masuala ya utawala. Nyerere, kama haelewi kitu alikuwa mtafutaji mpaka akielewe ndipo atoke hadharani. Ndiyo maana hata hotuba zake zilikuwa zinatisha. Nakumbuka dunia ilishtuka Nyerere alipotoa hotuba Marekani,New York, akisema haingii akilini kwa wacha Mungu kama Wamarekani,wakati huo, ambao wanajua kuwa Mwenyezi Mungu alimwuumba binadamu kwa mfano wake, je kama theluthi mbili ya wanadamu, wakati ule, ni maskani hawaoni aibu kuwa hiyo ni sura ya Mungu hapa duniani ni sura ya umaskini!?Mkuu ye yote hawezi kufahamu kila kitu lakini ni jukumu lake kutafuta Watanzania wenye uelewa na uwezo wa kumshauri masuala ya nchi siyo ndugu au marafiki. Kwa hakika hao hawawezi kumshauri, watampendeza tu. Washauri wa namna hiyo ni sawa na nchi kupeleka wacheza mpira wa miguu marafiki au second division team kwenye world cup competition halafu unashangaa matokeo !
 
There is a very huge difference between Assertion (being Assertive) and being plainly arrogant. Mkapa alikuwa assertive, ana hard tone but extremely elaborative. Alijibu maswali, japo kwa ukali maana ndio hulka yake, lakini alijibu. Mama ni arrogant, tone yake ina beba ujumbe mmoja tu; kuwa nishasema utanifanyaje sasa.
Wapi naweza pata mahojiano ya Mkapa?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.

Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.

Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.

Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.

Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.

Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.

Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.

Haya
 
Mfano leo alipokuwa anaongea, kasema ukiwasema polisi unaenda kujibiwa sijui uamini vyombo vyako na hayo aliyoyatamka. Ameongea kwa namna fulani hivi.
Mama na Rais wetu mpendwa awe makini sana. Kuna mambo mengine kama wewe ni Rais unamamlaka ya kuwaita wakuu wa vyombo vya usalama ukaongea nao huko sirini. Na si kupiga vijembe au mipasho ya taarabu katika kadamnasi za watu.
Hao unao wasema hivyo ndo wanakulinda.

Nikukumbushe, miaka ya 90, wakati Rais Mwinyi kapishana na Mkuu wa Majeshi Mwita Kyaro. Mwita Kyaro alikwenda Ikulu na kuamuru Rais atoke nje akamuone Mkuu wa Majeshi. Nakumbuka siku hiyo Dar ilikuwa kimyaaa.

Busara za Mwinyi hakutoka kwenda alichofanya ni kuongea na Nyerere ili aweze msihi Mkuu wa majeshi kurejea kwake na kutofanya alichokusudia. Ndipo Nyerere aliongea na Mkuu wa Majeshi, na hatimaye mambo yalipoa.

Hivyo Rais kama uliudhika kwa kauli ya Mkuu wa Polisi, tafuta mtu kuongea nae kama uwezi. Mtumie hata mzee wa Msoga, kumweleza Siro alichofanya si kizuri. Lakini hii mipasho unayoifanya katika jukwaa si nzuri kiusalama. Kumbuka vyombo vya usalama si kama spika wa Bunge, ambae uliweza msema jukwaani.

Mpaka mkuu wa Polisi kutamka huna imani na vyombo vyako vya usalama, uwezi jua kwanini alisema hivyo. Mara nyingi hawa wakubwa wana support. Au unachotakiwa muondoe kuliko kujibizana kama ulivyofanya. Nakushauri kuwa makini acha mipasho.
Sijaelewa
 
Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.

Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.

Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.

Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.

Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.

Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.

Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.

Sikiliza rais ni binadamu,kuonesha hisia ni sawa kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana Nchi kama USA,CHINA &RUSSIA hawawezi kumpa Mwanamke Urais-siku zote wanajua wapo dhaifu dhidi ya Mwanaume na ndivyo uhalisia.
Imagine angekuwa Rais wa Nchi tajwa si angeonekana kituko mbele ya Dunia.
 
Mkapa alitaka kupiga mtu kwenye hard talk!
Sio Mkapa tu, hata Kikwete alizinguaga eti hajui kwa nini Nchi yake ni maskini.Ndio maana nasema hii Nchi kiongozi kidogo alikiwa Nyerere hasa wengine ni bahati tu walikuwa nazo wakajikuta katika nafasi hizo.
 
Back
Top Bottom