MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Uliona wapi mbwa mzee anafundishwa kuwinda? Kama hakujifunza ujanani ndio imetoka hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine ni hulka tu.... sema swali ni alifikaje hapo; au utaratibu wa kupima watu hatuna?Siyo kosa lake, kosa la wanaoandaa viongozi. Mtu mpaka kufikia level hiyo, kwanini asiwe exposed kwenye such trainings za leadership na emotional intelligence?
Katika mambo yote namheshimu mwl lakini niseme tu yeye ndiye aliyesababisha hii recycling ya viongozi wabovu.Sio Mkapa tu, hata Kikwete alizinguaga eti hajui kwa nini Nchi yake ni maskini.Ndio maana nasema hii Nchi kiongozi kidogo alikiwa Nyerere hasa wengine ni bahati tu walikuwa nazo wakajikuta katika nafasi hizo.
Jamani katika ile clip hakuna kosa lolote alilofanya Rais Samia. Muuliza swali alikuwa anamtega Rais Samia- na Rais hakurudi nyuma akasimama imara. Kikeke kama kweli ni mwandishi wa habari aliyebobea anajua vizuri msimamo wa Rais. Swali lilikuwa la mtego na likajibiwa kibabe. Marais wote wa Tanzania tangu baba wa Taifa walikuwa wanakuwa wakali pale wanapoulizwa maswali wasiyoyapenda. Rais pekee aliyekuwa anaweza kudhibiti hasira zake alikuwa ni Mzee Ally Hassan Mwinyi . Mwacheni mama achape kazi. Akiwa mpole mtamsema akiwa mkali hamtaacha kumsema.Uwezo wa kukabiliana na maswali nayo ni taaluma, si kila kiongozi anaweza...
Jambo la muhimu ni kuchukua ujumbe uliobebwa katika majibu...
Uliasisiwa na baba yetu wa taifa...Mtu class seven leaver alikabidhiwa madaraka makubwa kwakua tu alikuwa kipenzi na muumini wa siasa...Hayo mambo yakaendelea hata leo na ndiyo outcome zake ni kama hizi. Hata kwenye era ambayo wasomi wapo wengi lakini hawapo kwenye mifumo so kila wakichagua kwakua hawapo kwenye hizo lines hawaonekani.Wengine ni hulka tu.... sema swali ni alifikaje hapo; au utaratibu wa kupima watu hatuna?
Ndugai kasema au?Inaelekea mama anajua hasa kusuta huyu😂
Naona unakubali kuwa una upungufu wa kuandika ili ueleweke.Mie nimeandika mwenye kuelewa aelewe, uelewi waachie wenye akili ya kuelewa.
Kwa mfano kwa kauli yake kwamba polisi wakisemwa. Ile rafudhi na maneno aliyoyatumia ni ya kike zaidi ya amiri jeshi mkuu.Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.
Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.
Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.
Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.
Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.
Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.
Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.
Kuwa kike ni uhalisia wake hakuna tabu. Tatizo ni je katika ukike huo angefanyaje kupunguza hizo natural traits za kike? Hiyo ni skill ambayo alihitaji iwe imparted kwake...Kwa mfano kwa kauli yake kwamba polisi wakisemwa. Ile rafudhi na maneno aliyoyatumia ni ya kike zaidi ya amiri jeshi mkuu.
Mzee msoga akijua huu ni mtego alikuwa anasema Hivi ndiyo nasikia kwako,nitajifunza.Labda ndio changamoto ya kuwa mwanamke. Amekuwa emotional na kukasirika katika situation ambayo angekuwa mwanasiasa kidogo na kukwepa swali
Yaani wewe unadhani kuwa Rais ni kusujudia Mwandishi? Kwani Salim Kikeke alikuwa na ushahidi wowote kuwa sisi wananchi tunadai Katiba?Usiwe mnafiki, angechomoa sawa lakini in the assertive way siyo hivyo akionyesha aggressiveness ya hali ya juu...Hiyo ime provoke watu wengi sana na kumwona kama vile yeye ndiye king'ang'anizi kumbe masikini hata pengine hana hiyo nia. Tusimpotoshe Rais, yeye ni symbol ya nchi yetu. Haiba yake ni muhimu sana katika kila neno au tendo analolifanya public.
Alihiitaji aonekane kwamba ni calm, anaelewa hitaji la watu lakini angeonyesha challenges ambazo zinazuia yeye kuhamaki kutoa ahadi hewa.
Asiye jua maana haambiwi maana.Naona unakubali kuwa una upungufu wa kuandika ili ueleweke.
Pole yake amebehave kiutopolo sana kwenye hayo majibu hafiti hio nafasi hata robo, daah inasikitisha statehouse inakosa hadhiNimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.
Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.
Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.
Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.
Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.
Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.
Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.
Huyu ni mama hata mamayangu yupo hivyo watch your approach toward her,hatutaki uchaguzi 2025 mpaka amalize mambo ya katiba mpya,uchaguzi mpaka katiba mpya mkiita ucgaguzi bila katiba hatupigi kura mpeleke na juisi za wasimazi hatuji,tumchague nani bila katiba?Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.