Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Magufuli japo alikuwa na mapungufu yake, aliweza kutawala nyoyo za wengi pale alipokuwa kwenye halaiki na kutetea wanyonge. Hata kama ilikuwa ni kiini macho, aliondoka na nyoyo za watu. Lakini huyu mama anadiriki hata kumnyamazisha mwananchi wake maskini ambae ameshakata tamaa na kuona nafasi pekee ni kumvaa raisi halaiki kutoa duku duku lake. Lakini anaambulia kushushuliwa.
Sjui kwanini? Nmekuelewa sana hapa kuna siku Mama alikuwa anahutubia kuna mwananchi uko akawa anapiga kelele kutaka kusikilizwa Mama alimuangalia tu kimya akaendelea na mambo yake dah nisikitika sana nikagundua mama anakiaina fulani cha kiburi
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app