Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Credentials za upresident hana it's about brainAmekosa presidential traits.
Amezingua sana. Sijui hawaandaliwi!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Credentials za upresident hana it's about brainAmekosa presidential traits.
Amezingua sana. Sijui hawaandaliwi!?
Ni uwezo sio kujizuia kaulizwa maswali yenye majibu tena hata Shaka H. Shaka anayajibu vizuri tu. Ukomavu, busara, hekima, maarifa, vigezo vya vya lazima kwa wadhifa wake na umri wake pia, kama hana hana to. Hi hatari sana kwa nchi.Nasikitika ni aibu sana kwa nchiIla kwa nafasi aliyonayo anapaswa ajifunze kujizuia.
Maana anajibu kishari kama huyo Kikeke ndio kadai katiba.
Sio kwa level hio ya BBC huo utopolo wa pre arranged questions haupo tuache kutetea utopolo, Rais anapaswa kuwa msomaji na kujua kila kitu haina kisingizio ametepeta very clearAkitoka madarakani akajiangalia hizo Interview zake ndio atajiona kuwa alikuwa hajui
Kuna protocol inakuwa haiendi sawa,,, Rais huwa anaandaliwa maswali na majibu pia. kuepusha kuvurunda
Acheni visingizio tuna hasira za aibu aliosababisha yuko na dhamana ya ikulu asome na ajue mambo mengi mtambuka ni lazima sio ombi.Mnakuwa kama hamuwajui akina mama!
Wamama hawawezi kuji control ndio maana ukienda mpelekea habari za msiba au taarifa zingine sensitive kwa dada yako alieolewa wazee wanakwambia mwambie mume wake na mume atatafuta mazingira ya kumwambia mkewe.
Muache awe atajijua polepole alikuwa na jambo zuri sanaile semina ya Polepole ilitakiwa apewe yeye. Hovyo kabisa
Stereotype kbsa tena ya hovyo kbsaTatizo ni kwamba huyu mama alikuwa anamjibu Kikeke kama Kikeke tena mtanzania...badala ya kumjibu kama mwakilishi wa BBC.
Kwani kuhojiwa tumentuma au kalazimishwa acha kutetea utopolo, utopolo ni utopolo tu, maswali yote yako ndani ya uwezo wake kaboa sana na kaibisha sana image ya kiti cha uraisYaani wewe unadhani kuwa Rais ni kusujudia Mwandishi? Kwani Salim Kikeke alikuwa na ushahidi wowote kuwa sisi wananchi tunadai Katiba?
Acheni dharau watanzania!! Huyu mama ni muungwana sana, anaituliza nchi. Mbona yule Mwendazake alikuwako hapa kwa miaka 5 Kikeke naye alikuwako BBC lakini hakuwahi kumuuliza maswali ya hivyo.
Rais Samia anaheshimu utawala wa sheria, uhuru wa vyombo vya habari na maoni ya mtu mmoja mmoja. Yule Mwendazake alibana yote haya. Huyu mama kaachia ndiyo mnataka mumdhalilishe kwa vitu kawaachia yeye mwenyewe?
Yeye ndiyo Rais, kama unataka majibu soft nenda kwa mkeo au mumeo!!
unaitwaje huo uzi nikausomeNa tayari yule member maarufu humu jf ameshotoa uzi ule hapo januari Mwaka huu kuwa FDR atatawla miaka 12
!nahisi thread itajibu mwakani kabla ya March!!
kabla ya miaka miwili ya kikatiba tangu Mwendazake atutoke!!!
NGOJA Tuone Kati ya chief Tozo na msoga gang na the state nani atashinda mechi hiyo!!!
Siku nyingine sema 'state machinery'.Hajawahi kujiamini hata siku moja kitu kinachomfanya awepo na kuendelea kuwepo hapo ni usalama wa taifa vinginevyo angekuwa ameachia ngazi muda mrefu.
The state instrument is very powerful to retain someone in position irrespective of the challenges facing
Mama ni mzuri tu...Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.
Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.
Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.
Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.
Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.
Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.
Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.
Tumpeleke hard talk kama hajaropokaUko sahihi, Siku akikutana na wanaojua maswali ya kukera atakuja kujichanganya na kuongea ambayo hakupaswa kuongea
Ataropoka balaaaAkienda Hard Talk itakuwa mtafutano
Huyu mama siku zinavyosogea naanza kusogea mbali naye taratibuuuuu...Aiseh hii clip hii sio mchezo
Kuna siku mtangulizi wake aliwaambia wananchi waliobeba mabango waende wakajifunike nayo na wake zao...mke wake alikuwepo kwenye huo mkutano aliangalia chini..Mama ni mzuri tu...
Ila akianza kuongea ndo unagundua Ikulu kuna mtu wa aina gani!
Rejea kauli za mtangulizi wake pia...je aliandaliwa kuwa rais???aliandaliwa kuwa makamo.
Jinsi ya kuzindua majengo na kuhudhuria sherehe.
Sasa suddenly roles changed na hiki ndicho tulichobaki nacho.
Mkapa alikuwa mbabe balaa...kwenye hard talk karibia angerusha ngumi...alitoaga povu balaaaulishawah fatilia mahojiano Ya BWM ? Tone yake ?
Hila wabongo dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inaelekea mama anajua hasa kusuta huyu[emoji23]
Hapana sio kawaida kwa Rais kupanic kwenye issues ndogo ndogo kama hizo.