Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo Rais wetu anataka kumfurahisha Kila mtu kitu ambacho ni kigunu.Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.
Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.
Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.
Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.
Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.
Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.
Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.
Una umri gani? Ukimtoa Mwinyi na Nyerere, style hiyo ya majibu ilishatumiwa na Mkapa, Kikwete na Magufuli. Yaani sio style mpya.Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.
Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.
Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.
Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.
Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.
Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.
Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.
kwa hiyo?Una umri gani? Ukimtoa Mwinyi na Nyerere, style hiyo ya majibu ilishatumiwa na Mkapa, Kikwete na Magufuli. Yaani sio style mpya.
Hapana sio kawaida kwa Rais kupanic kwenye issues ndogo ndogo kama hizo.
Hakuna cha kwahiyo. Ndivyo walivyo; huenda ni tabia hicho mnachoita deep state.kwa hiyo?
Hahahaha. Kumbe Samia mwarabuNa tushukuru ni mwarabu angekuwa mmatumbi wa huko kwa profesa angetamka hata yale maneno magumu
Aliyemtangulia alikuwa hovyo sana kuliko yeye. Somo lingeanzia kwake kwanza.Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.
Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.
Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.
Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.
Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.
Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.
Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.
Inabidi tuwe wapole tu, huyu ndio rais mpaka 2025 ikiwezekana ni mpaka 2030. Wakati hayati JPM anampa umakamu wa rais labda hakujua mipango ya Mungu ni ipi ifikapo March 2021, tuwe wapole tu.Hajawahi kujiamini hata siku moja kitu kinachomfanya awepo na kuendelea kuwepo hapo ni usalama wa taifa vinginevyo angekuwa ameachia ngazi muda mrefu.
The state instrument is very powerful to retain someone in position irrespective of the challenges facing
Kikeke kauliza swali la kipashkuna kajibiwa kipashkuna vile vile, hakuna lililoharibika hata moja.Hapana sio kawaida kwa Rais kupanic kwenye issues ndogo ndogo kama hizo.
Hayati JPM hata hizi interviews hakuwa akizifanya, alijijua udhaifu wake upo wapi.Akitoka madarakani akajiangalia hizo Interview zake ndio atajiona kuwa alikuwa hajui
Kuna protocol inakuwa haiendi sawa,,, Rais huwa anaandaliwa maswali na majibu pia. kuepusha kuvurunda
Afadhali mama anakasirika lakini Magufuli ukigusa tu katiba mpya anakuuaUkigusa tu katiba mpya anapandwa na hasira sana
Ila kwa nafasi aliyonayo anapaswa ajifunze kujizuia.
Maana anajibu kishari kama huyo Kikeke ndio kadai katiba.
Umri wangu hauna mantiki katika hili swala. Kuhusiana na hao uliowataja, walijibu hoja ya msingi hata kama walitumia ukali.Una umri gani? Ukimtoa Mwinyi na Nyerere, style hiyo ya majibu ilishatumiwa na Mkapa, Kikwete na Magufuli. Yaani sio style mpya.
Sasa waliosoma politics wenyewe ndo wanaongoza kwa kutojua kitu. Wanahisi udictator ndo mfumo mzuri wa uongozi. Kama Bashiru alivyo