Kuna haja ya serikali kutenga bajeti kubwa kwa ajili ya kuisapoti Simba SC

Kuna haja ya serikali kutenga bajeti kubwa kwa ajili ya kuisapoti Simba SC

Uzi ni simba mnaomba pesa serikalini.
Simba sio ya kuomba pesa serikalini, maana mpaka sasa Simba ndio inainufaisha serikali

Ukibebwa jishkize hiyo ndo love, tunataka kuona support ya serikali ambayo imekuwa ikinufaika kupitia simba
 
Watalii gani hao walikosa kazi ya kufanya? Yani mtu apoteze kabisa muda wake kusafiri kuja kuangalia manyau nyau meusi kwa mkapa yakicheza mpira, si bora hata huo muda achape usingizi mwororo na familia yake nyumbani [emoji848] [emoji16]

Bila shaka ndoto za mchana ni raha sana [emoji28]
Juzi ulipewa mchanganuo wa visitors walioongezeka kwenye sector ya utalii, kama haufatilii shauri yako
 
Simba sio ya kuomba pesa serikalini, maana mpaka sasa Simba ndio inainufaisha serikali

Ukibebwa jishkize hiyo ndo love, tunataka kuona support ya serikali ambayo imekuwa ikinufaika kupitia simba
Malalamiko fc again 😂
 
Club haina pesa kiasi hichi?
Kufika robo unaelewa pesa inayoingia inalipa mishahara ya wachezaji wenu kwa miaka 30 na bonus na chench inayobaki inatosha kufanya repair ya kiwanda cha vigodoro pamoja na kujenga nyumba nyingine itayomfanya ajione mjinga kugombea mapagala na makonda?
 
Mafanikio ya klabu yoyote ni kombe, kama hujabeba kombe , huna mafanikio yoyote
 
Kufika robo unaelewa pesa inayoingia inalipa mishahara ya wachezaji wenu kwa miaka 30 na bonus na chench inayobaki inatosha kufanya repair ya kiwanda cha vigodoro pamoja na kujenga nyumba nyingine itayomfanya ajione mjinga kugombea mapagala na makonda?
Sasa kama mko na pesa sana kwanini mnakua desperate kiasi hichi hadi mnaomba tena serikali iwape ruzuku 😂
 
Sasa kama mko na pesa sana kwanini mnakua desperate kiasi hichi hadi mnaomba tena serikali iwape ruzuku 😂
Support ya serikali kwa simba sio mpaka pesa hata ile recognation tu ya kuipa thamani kwa makubwa iliyofanya inatosha

Serikali itafute namna ya kutoa payback kwa mazuri iliyofanyiwa na simba na kuiheshimisha.

Leo hii kwa mara ya kwanza VAR inaletwa kwa mkapa tangu dunia ianze, hii ni simba inaiandikia historia nchi
 
Malalamiko fc chezeni mpira acheni kulia-lia kabla ya kipigo.
 
Akili za mataputapu bila kunywa supu
Sawa za matapu tapu ila toah hoja sasa kama serikali inaweza kufadhili na kusimamia mazishi ya mtu kusimamia matibabu ya mgonjwa inashinswa nn kumsapoti simba
 
Tukiwaambia mashabiki wa MIKIA
1. Wengi madishi yameyumba
2. Wengi ni watoto watoto
3. Wengi wanaota simba tu
4. Wengi wale wenye dishi upande kama huyu hawana kazi zingine wanawaza ipo siku watagawiwa maisha (hela kutoka mikiani).
5. Wengi hakuna wanachofikiri zaidi ya simba kutwa nzima
 
Yani mpaka simba anafika robo mmehama hama timu na kelele zenu hazijasaidia chochote na bado hamkomi
Hizo team hata sizijui mimi nimejikita na ninao wajua tu.

By the way mkuu hongera wewe ni mmoja ya shabiki lia-lia wa simba hapa jf uliyededicate nguvu zote hapo kufa na kupona 😂
 
Simba / Yanga wachawi wa mpira Tanzania na waludish nyuma maendelea ya soka Tanzania
 
Back
Top Bottom