3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
kushinda hawa? kama asemavyo msukuleTukiwaambia mashabiki wa MIKIA
1. Wengi madishi yameyumba
2. Wengi ni watoto watoto
3. Wengi wanaota simba tu
4. Wengi wale wenye dishi upande kama huyu hawana kazi zingine wanawaza ipo siku watagawiwa maisha (hela kutoka mikiani).
5. Wengi hakuna wanachofikiri zaidi ya simba kutwa nzima