Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Watakwambia hatua waliyofikia, sijui nao ni Watoto wadogo wanajifunza kutambaa hadi wakipiga hatua 1 mbele wapewe pongezi [emoji848]Hivi kitu gani cha ajabu ambacho Simba imefanya kiasi kwamba mnai overrate hivyo?
Kwahiyo huoni maendeleo yao mbali na hao wakurya kuuza kwao mayai, ulitaka nao wawe kama wapwani wanaoamka asubuhi tu na kukaa vijiweni kupiga stori za umbeya umbeya kama Ke vile [emoji848][emoji23]Simba ni kama "Wakuria" tuu.
Wababe kwao,mjini wanauza mayai
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Taifa linafaidika na Simba, Simba haifaidiki na Taifa inafanya kwa mapenzi tuSasa inakuaje tena unataka muombe pesa serikalini?
Simba sio ya kuomba pesa serikalini, maana mpaka sasa Simba ndio inainufaisha serikaliUzi ni simba mnaomba pesa serikalini.
Juzi ulipewa mchanganuo wa visitors walioongezeka kwenye sector ya utalii, kama haufatilii shauri yakoWatalii gani hao walikosa kazi ya kufanya? Yani mtu apoteze kabisa muda wake kusafiri kuja kuangalia manyau nyau meusi kwa mkapa yakicheza mpira, si bora hata huo muda achape usingizi mwororo na familia yake nyumbani [emoji848] [emoji16]
Bila shaka ndoto za mchana ni raha sana [emoji28]
Vist Tanzania inapanda ndege mkuu serikali ijiongezeeKwahiyo simba mnahitaji mchango wa pesa kutoka serikalini?
Kumbe hilo tangazo limewekwa bure hapo?Vist Tanzania inapanda ndege mkuu serikali ijiongezee
Malalamiko fc again πSimba sio ya kuomba pesa serikalini, maana mpaka sasa Simba ndio inainufaisha serikali
Ukibebwa jishkize hiyo ndo love, tunataka kuona support ya serikali ambayo imekuwa ikinufaika kupitia simba
Club haina pesa kiasi hichi?Taifa linafaidika na Simba, Simba haifaidiki na Taifa inafanya kwa mapenzi tu
Kufika robo unaelewa pesa inayoingia inalipa mishahara ya wachezaji wenu kwa miaka 30 na bonus na chench inayobaki inatosha kufanya repair ya kiwanda cha vigodoro pamoja na kujenga nyumba nyingine itayomfanya ajione mjinga kugombea mapagala na makonda?Club haina pesa kiasi hichi?
Sasa kama mko na pesa sana kwanini mnakua desperate kiasi hichi hadi mnaomba tena serikali iwape ruzuku πKufika robo unaelewa pesa inayoingia inalipa mishahara ya wachezaji wenu kwa miaka 30 na bonus na chench inayobaki inatosha kufanya repair ya kiwanda cha vigodoro pamoja na kujenga nyumba nyingine itayomfanya ajione mjinga kugombea mapagala na makonda?
Support ya serikali kwa simba sio mpaka pesa hata ile recognation tu ya kuipa thamani kwa makubwa iliyofanya inatoshaSasa kama mko na pesa sana kwanini mnakua desperate kiasi hichi hadi mnaomba tena serikali iwape ruzuku π
Malalamiko fc chezeni mpira acheni kulia-lia kabla ya kipigo.Support ya serikali kwa simba sio mpaka pesa hata ile recognation tu ya kuipa thamani kwa makubwa iliyofanya inatosha
Serikali itafute namna ya kutoa payback kwa mazuri iliyofanyiwa na simba na kuiheshimisha.
Leo hii kwa mara ya kwanza VAR inaletwa kwa mkapa tangu dunia ianze, hii ni simba inaiandikia historia nchi
Yani mpaka simba anafika robo mmehama hama timu na kelele zenu hazijasaidia chochote na bado hamkomiMalalamiko fc chezeni mpira acheni kulia-lia kabla ya kipigo.
Sawa za matapu tapu ila toah hoja sasa kama serikali inaweza kufadhili na kusimamia mazishi ya mtu kusimamia matibabu ya mgonjwa inashinswa nn kumsapoti simbaAkili za mataputapu bila kunywa supu
Hizo team hata sizijui mimi nimejikita na ninao wajua tu.Yani mpaka simba anafika robo mmehama hama timu na kelele zenu hazijasaidia chochote na bado hamkomi