Nashauri serikali kupitia wizara ya utalii, iweke bajeti japo ya 100m kwa kila mechi za awali. 100m ikishinda na 30m ikidroo, ikifungwa 10m
Afu kule makundi 200m kila mechi kutangaza utalii timu ikipata ushindi,ikidroo 100m. Ikifungwa 20m
Hatua ya robo fainali na kuendelea 500m ikishinda, droo 200m ikifungwa 50m.
Hii itasaidia pia kuzipa morali timu zetu.