Kuna haja ya Serikali kuzichunguza hizi madrasa

Kuna haja ya Serikali kuzichunguza hizi madrasa

Lakini huyu wa juzi.....yaani hata sijui alikuwa na maana gani au akili gani?niliposoma habari zake nilijiuliza kwa masaa kujaribu kuwaza aliwaza nini hadi akafanya unyama ule nikakosa jibu.

Watoto 22 kweli kweli kabisa watoto ishirini na mbili unawanajisi tena continuously hata utu unakosa?hii kitu inasikitisha na inatia hasira kinyama yani huyu kwa waliotendwa kwa watoto wao wadili nae nje ya mfumo ili amani ya mioyo ipatikane hiki ni kidonda kikali sana hakivumiliki!!!
 
Sunday school hakuna kukariri mambo bila kuelewa.

Naona sasa hivi mmeungana na waanzilishi wenu vatican kunajisi watoto.
Ndiyo maana mnakuwa majuha, utaweza kukariri kitu bila kukielewa, wewe juha kweli kweli.
 
Mbona wakati katekista analawiti watoto kule mpanda hamkutoa mawazo haya?
kwa sababu na ugaidi unaanzia huko pia.

ingekuwa kula watoto tu wala isingekuwa ishu sana maana ni tatizo la mwalimu.
 
Walimu wa kike watumike zaidi kufundisha madarasa ya dini kwa watoto.Utaratibu huo unaweza kupunguza kama si kuondoa hilo tatizo.
 
Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.

Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.

Huu ukatili kwa watoto wetu haukubaliki tunaiomba serikali iwachukulie hatua kali hawa mashekhe wanaituharibia watoto wetu, Ili iwe fundisho kwa wengine.
Nadhani Jumuiya ya waislamu nchini Bakwata pamoja na taasisi zingine zinapaswa kufuatilia na kuzichunguza hizi madrasa kila kona na kujiridhisha juu ya Uadilifu wa wa walimu wanao fundisha watoto.

Bakwata itekeleze wajibu na jukumu lake la kusimamia na kuhakikisha elimu inatolewa na watu sahihi wenye uadilifu unao takiwa.
waanze na Mkoa wa DSM
 
Mtu akichangia hoja kwa kivuli Cha Dini yake binafsi huwa namuona mpumbavu Sana, mjadala umeharibiwa
 
Back
Top Bottom