Ndiyo maana mnakuwa majuha, utaweza kukariri kitu bila kukielewa, wewe juha kweli kweli.Sunday school hakuna kukariri mambo bila kuelewa.
Naona sasa hivi mmeungana na waanzilishi wenu vatican kunajisi watoto.
Naona umemaliza kubeba box umekuja kuonesha tabia zenu na vatican.Ndiyo maana mnakuwa majuha, utaweza kukariri kitu bila kukielewa, wewe juha kweli kweli.
kwa sababu na ugaidi unaanzia huko pia.Mbona wakati katekista analawiti watoto kule mpanda hamkutoa mawazo haya?
kwa sababu na ugaidi unaanzia huko pia.
ingekuwa kula watoto tu wala isingekuwa ishu sana maana ni tatizo la mwalimu.
Kwa hiyo hao masheikh waendelee tu?Dini zote sio madrasa tu hata Makanisani tena ndo balaa huko
[emoji23][emoji23][emoji23]umeshinda, usije kunichinja mie.
Nadhani Jumuiya ya waislamu nchini Bakwata pamoja na taasisi zingine zinapaswa kufuatilia na kuzichunguza hizi madrasa kila kona na kujiridhisha juu ya Uadilifu wa wa walimu wanao fundisha watoto.Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.
Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.
Huu ukatili kwa watoto wetu haukubaliki tunaiomba serikali iwachukulie hatua kali hawa mashekhe wanaituharibia watoto wetu, Ili iwe fundisho kwa wengine.
Dini ya mauaji au sio.
Hakuna aliyemsafi hata huyo anaye ua mwenzie naye anamaovu yake mengi tu..sema hayajabainika kwa jamii.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja kwamba hata kwenye dini nyingine haya mambo yanatokea, ni hoja dhaifu ya mtu asiye na uwezo wa kufikiri sawasawa, kama huko yanatokea sio tiketi kuwa huku napo yatokee
Basi na ugaidi ni tatizo la GAIDIkwa sababu na ugaidi unaanzia huko pia.
ingekuwa kula watoto tu wala isingekuwa ishu sana maana ni tatizo la mwalimu.
Watakutenganisha kichwa na kiwilwili ohooumeshinda, usije kunichinja mie.