Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Na ukizaa tena nje, utakuwa na wake wangapi?Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine.
AU huoi kabisa
Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii
Unataka kuhalalalisha uzinzi ambao ni dhambi kubwa yaani mtoto wa kike akuketee tu wajukuu nyumbani kwako baba wa watoto humjui,Halafu roho yk kwatuNi hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine.
AU huoi kabisa
Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii
Binadamu ni wanyamaKwenye Haki na usawa ni ukatili ña unyanyasaji kusema kuzalisha.
Neno kuzalisha linatumika kwa wanyama.
Ni kana kwamba Mwanamke ni mnyama hana hiyari au akili ya kuamua kubeba mimba au kutobeba.
Anayedhaniwa kustaarabika maana wengine hata siyo wastaarabuBinadamu ni wanyama
Hoja zako hazina mashiko kabisa. Completely nonsense!Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine.
AU huoi kabisa
Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii
Condom accident🐸👈.Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine.
AU huoi kabisa
Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii