Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Nimefatilia Sana na kuangalia mtu Amalia machozi na wengine wakianzisha umoja wao wa Majobless ili kuendesha harakati za kudai Ajira.
Ni kweli serikali inabidi kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi ya kupunguza hili tatizo hata kwa asilimia kadhaa .
Ila kubwa kuliko ni wazazi kuwa na uwezo wa kufikiria kesho ya watoto wao.
Mfano mnaweza kuanzisha biashara mbali mbali mkazikuza na kupitia hizo biashara mkaajiri vijana wenu na wakaishi vizuri tu.
Waarabu , wahindi na sasa wapemba na wakinga ni nadra kumkuta anaweweseka na hela ya kula ,kuishi n.k
Swala ubinafsi kwa Mbantu litamtesa Sana .
Elimu haiwezi ikawa urithi hata siku moja.
Tafuta Mali ,wekeza fungua miradi endelevu ili watoto wako wasije kuwa watumwa wa hii dunia.