Kuna hasara gani endapo mtu atasoma form 5&6 (A level) kwa shule za private,?

Kuna hasara gani endapo mtu atasoma form 5&6 (A level) kwa shule za private,?

Kumbe ulianza enzi za JK. Mambo yalibadilika enzi za JPM mkuu. Hivyo walioanza enzi jiwe anabana mambo walipitia huo mtoso hakuna cha aina ya kozi bali shule uliyosoma
Enzi zote.. JK na JPM.

Kinqcho matter ni aina ya kozi uliyoomba na sio umesoma shule gani.
 
Usipoteze mda kwenda 5 na 6 , Haina professional yoyote , tafuta cheti chenye professional, kwa Tz ya kipindi hiki 5 na 6 ni kupoteza mda. Haina thamani tena. Mwanzako anasoma miaka mitatu diploma anauwezo wa kuomba kazi yoyote na akaajilika , lakini six labda ukalime JkT .
Kwanini serikali imeendelea kuiacha elimu hiyo ya kidato cha 5 & 6 kama ni kupoteza muda?
 
Kwanini serikali imeendelea kuiacha elimu hiyo ya kidato cha 5 & 6 kama ni kupoteza muda?
Waendelee kuiacha tu ila sisi ambao tupo field baaada ya hiyo elimu ndo tunaona udhaifu wake , sio mbaya ni nzuri tu , ila serikali ndo inavyo ishusha hadhi
 
Back
Top Bottom