goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Wakuu kila siku nacheki pm yangu member nakuta massage na ujumbe watu kuomba niwapigie kura mm bila mm kusoma hata Uzi wake je hi si rushwa tu Kama rishwa zingine Kama mtu unajiamini na unauhakika na bandiko lako ya nn upitepite humu kuomba kupigiwa kura .
Mm huwa sipigi kura bila chochote kitu Ni desturi yangu toka mwak 2005 kuwa ukiwa unaitaji kura yangu bas niwezeshe niweze kukuwezesha na wee ufikie malengo yako
Nb
Pia mm nadhani hao wanaoendesha shindano lile waangalie namna Bora ya kupata mshindi mnk inaonesha wengi wanakuja pm kuomba kupigiwa kura bila kusoma mabandiko yao