The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mgombea Udiwani kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora Yusuph Kitumbo amewaahidi Wananchi wa kata hiyo kutatua kero ya Barabara mara baada ya kuachaguliwa kuwa Diwani wa kata hiyo.
Kitumbo ameyasema hayo leo October 4,2025 wakati wa uzinduzi wa Kampeni katika kata hiyo uliofanyika Katika viwanja vya shule ya Sekondari Cheyo.
Kitumbo ameyasema hayo leo October 4,2025 wakati wa uzinduzi wa Kampeni katika kata hiyo uliofanyika Katika viwanja vya shule ya Sekondari Cheyo.