Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

husomi we sh*t.. if so, usingebonga ukinyaa wako apa...
 
okay, lakini hiyo ina negative impacts kwenye ajira,kwani waajiri wengine wanataka upper second
 
Yan we supp moja tu,unakimbilia kuandika hapa ...mimi nilishapataga suppies 4 semister I,semista ya II nikaongeza moja zikawa tano,ila nilisapua 4 nikacarry moja..nikaisoma tena mwaka uliofuata darasan nikawa siingii
nikapigwa tena supp nyingne ya koz hyo hyo...sasa maisha maisha yakaanza kuwa magumu mana ukishndwa kusapua carry-overed koz hyo ni disco..nikabidi nisalimu amri nikaenda kwa lecturer huku nalia mwalimu unamalengo gan nam.
mwl akanipa notes mzigo nenda kakomae nazo nilsoma mpaka nikilala nikawa naota notes tu
na hatimae nikasapua
 




Daah bora umejisema kuwa darasani ulikuwa huingii kumbe wewe ndo source of your problems
 
Daah bora umejisema kuwa darasani ulikuwa huingii kumbe wewe ndo source of your problems

Carry inauma wewe yan kuingia tena darasan kusoma kozi hile hile wakt kuna koz nyingne unatakiwa usome tena mda huo huo..usiombe upate carry mana utajidharau mpaka basi
 

Chuo gani mkuu? Maana kama ni UD kwa hayo matokeo ya first semester plus sup nyingine ya second semester tayari ni below 1.8 na ni automatically umekuwa discontinued! Labda kama umesoma ETU au Tumaini university (now University of Iringa) and the like... Lakini siyo hapo kwa mkandala
 
inaijua SUA wewe?? unakamatwa masomo mawili unakuja kutuambia hapa :angry::angry:, wakati wenzako ni darasa zima linarudi kupiga tuta.
 
nimemiss migomo udsm.....mwaka wangu wa nne wa mwisho 2010/2011 uliisha kwa tabu sana...ulemgomo hujawahi kutokea namkumbuka ule sister aliyepata miscarriage kwa kuchapwa fimbo nilikuwa nimekaa naye karibu kule vimbwetani nmb

maisha ua UDSM yalikua ni half JKT,
 

Baada ya yote haya, bado nchi inabaki maskini na maendeleo mwendo wa kinyonga.
 
Ungekuwa MZUMBE ungekuwa ushadisco
 

Kumbe we nawe kilaza tu..haya calcute gpa hapa
semister I nilikuwa na koz 7,matokeo ni kama ifuatavyo
c1>B
c2>B+
c3>C
c4-c7>ni D zote
Semister II pia coz 7
coz1>B+
coz2>C
coz3>B+
coz4>B
coz5>B+
coz6>D
Field >A
Embu calculate hyo gpa uniambie umepata ngapi,zote ni core courses (points 3)
 
Tyta njoo utupe data za huyu dogo..alitudanganya kipindi flani kwamba anasoma COET mambo ya umeme..leo anamuongelea dr karamagi wa uchumi kampa sup.. we dogo una matatizo sana..
Labda alikuwa anazingua tuu
 
Last edited by a moderator:
Haina haja ya kucalculate,,, naona ulijipinda ktk baadhi ya course zingine ukazipa kisogo.
Hata hivo nimegundua kuwa hujapita udsm. Umepita saint john au somewhere else
 
Vijana pambaneni maisha bila shule hayaendi. Mna bahati mbaya kwamba misingi mliyo nayo sio mizuri ndi sababu ya supp nyingi. Lakini vilevile mnatakiwe msome kweli kwa sababu ya hiyo misingi kutokuwa imara. Vilevile mjaribu kumwelewa mhadhiri anasisitizia kitu gani zaidi katika fundisha yake. Maana unaweza kukesha unasoma kumbe unasoma off point.
 
hicho chuo mnaendekeza sana nyapu na bado mtakunywa supu sana kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…