Vmark.
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 1,353
- 270
Dah! UDSM my old hood, Campus to Mabibo, Mabibo to Campus, Wali wa Mpemba mtamu huo, Block C was my hood.......
Room gan Bkock C?? Mm ilikuwa 250.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! UDSM my old hood, Campus to Mabibo, Mabibo to Campus, Wali wa Mpemba mtamu huo, Block C was my hood.......
We huwajui wapata sup...wanakataa hao labda uwafume chumba cha mtihani....
okay, lakini hiyo ina negative impacts kwenye ajira,kwani waajiri wengine wanataka upper secondPoleni ndugu zangu kiukweli shule yetu hapo UDSM inahitaji nguvu nyingi sana vinginevyo wanakula kichwa, kwa experience yangu pale Conas rafiki zangu niliosoma nao advance nilishuhudia wanaaga kambi mchana kweupee, kisa Aris imesoma chini ya 1.8, wengine supp zinazid mtu anakata tamaa na kuachana na chuo kimya kimya ili akafanye mambo mengine
Yan we supp moja tu,unakimbilia kuandika hapa ...mimi nilishapataga suppies 4 semister I,semista ya II nikaongeza moja zikawa tano,ila nilisapua 4 nikacarry moja..nikaisoma tena mwaka uliofuata darasan nikawa siingii
nikapigwa tena supp nyingne ya koz hyo hyo...sasa maisha maisha yakaanza kuwa magumu mana ukishndwa kusapua carry-overed koz hyo ni disco..nikabidi nisalimu amri nikaenda kwa lecturer huku nalia mwalimu unamalengo gan nam.
mwl akanipa notes mzigo nenda kakomae nazo nilsoma mpaka nikilala nikawa naota notes tu
na hatimae nikasapua
Daah bora umejisema kuwa darasani ulikuwa huingii kumbe wewe ndo source of your problems
Yan we supp moja tu,unakimbilia kuandika hapa ...mimi nilishapataga suppies 4 semister I,semista ya II nikaongeza moja zikawa tano,ila nilisapua 4 nikacarry moja..nikaisoma tena mwaka uliofuata darasan nikawa siingii
nikapigwa tena supp nyingne ya koz hyo hyo...sasa maisha maisha yakaanza kuwa magumu mana ukishndwa kusapua carry-overed koz hyo ni disco..nikabidi nisalimu amri nikaenda kwa lecturer huku nalia mwalimu unamalengo gan nam.
mwl akanipa notes mzigo nenda kakomae nazo nilsoma mpaka nikilala nikawa naota notes tu
na hatimae nikasapua
inaijua SUA wewe?? unakamatwa masomo mawili unakuja kutuambia hapa :angry::angry:, wakati wenzako ni darasa zima linarudi kupiga tuta.Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..
Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over
nimemiss migomo udsm.....mwaka wangu wa nne wa mwisho 2010/2011 uliisha kwa tabu sana...ulemgomo hujawahi kutokea namkumbuka ule sister aliyepata miscarriage kwa kuchapwa fimbo nilikuwa nimekaa naye karibu kule vimbwetani nmb
Wanafunz weng wa UDSM ni wavivu wa kusoma
wanaendekeza starehe mno
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..
Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over
Ungekuwa MZUMBE ungekuwa ushadiscoYan we supp moja tu,unakimbilia kuandika hapa ...mimi nilishapataga suppies 4 semister I,semista ya II nikaongeza moja zikawa tano,ila nilisapua 4 nikacarry moja..nikaisoma tena mwaka uliofuata darasan nikawa siingii
nikapigwa tena supp nyingne ya koz hyo hyo...sasa maisha maisha yakaanza kuwa magumu mana ukishndwa kusapua carry-overed koz hyo ni disco..nikabidi nisalimu amri nikaenda kwa lecturer huku nalia mwalimu unamalengo gan nam.
mwl akanipa notes mzigo nenda kakomae nazo nilsoma mpaka nikilala nikawa naota notes tu
na hatimae nikasapua
Chuo gani mkuu? Maana kama ni UD kwa hayo matokeo ya first semester plus sup nyingine ya second semester tayari ni below 1.8 na ni automatically umekuwa discontinued! Labda kama umesoma ETU au Tumaini university (now University of Iringa) and the like... Lakini siyo hapo kwa mkandala
Labda alikuwa anazingua tuuTyta njoo utupe data za huyu dogo..alitudanganya kipindi flani kwamba anasoma COET mambo ya umeme..leo anamuongelea dr karamagi wa uchumi kampa sup.. we dogo una matatizo sana..
Haina haja ya kucalculate,,, naona ulijipinda ktk baadhi ya course zingine ukazipa kisogo.Kumbe we nawe kilaza tu..haya calcute gpa hapa
semister I nilikuwa na koz 7,matokeo ni kama ifuatavyo
c1>B
c2>B+
c3>C
c4-c7>ni D zote
Semister II pia coz 7
coz1>B+
coz2>C
coz3>B+
coz4>B
coz5>B+
coz6>D
Field >A
Embu calculate hyo gpa uniambie umepata ngapi,zote ni core courses (points 3)