Haina haja ya kucalculate,,, naona ulijipinda ktk baadhi ya course zingine ukazipa kisogo.
Hata hivo nimegundua kuwa hujapita udsm. Umepita saint john au somewhere else
Ni miaka minne sasa tangu nivae joho pale mlimani city. Nitarudi Udsm for masters very soonDogo soma achana na maswala ya college kinachoangaliwa ni kutusua ktk maisha hata ungesoma wapi,nimemesoma hapo udBS...na ukimaliza nitafute
Hafu mwaka huu wamedaka wengi chuoni wapo wengj kama kimefunguliwa vile kumbe ni september conference
Duuh uongo mbaya,leo nimekubamba,unakumbuka tulipokua tunabishana ukajidai umegraduate 2012,uongo sio kitu kizuri kabisa,then ulinipiga majungu eti maybe nimekosa hela ya mkopo nimechanganyikiwa,kumbe wewe unasanda msosi wa buku jero,mimi cna mkopo lakini nakula vzur kuliko wewe mwenye mkopo,chz Mkubwa,uache uongo
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..
Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over
Tyta njoo utupe data za huyu dogo..alitudanganya kipindi flani kwamba anasoma COET mambo ya umeme..leo anamuongelea dr karamagi wa uchumi kampa sup.. we dogo una matatizo sana..
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..
Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over
ivi sup ndo nn?tuambizane maana wengne twaja huko afu hatujui.
Mkuu unatatizo gani??
Mbona hata unachosema hakieleweki kaka??
Pitia vizuri ubongo wako, kuna nati zimelegea.
hicho chuo mnaendekeza sana nyapu na bado mtakunywa supu sana kwa wingi
Nati za ma.kalio yako labda,mimi sio taahira,uache uongo kijana bana sio vizuri
Soma sana kwa juhudi mdogo wangu, huku kitaa watu wenye akili ka zako hua wanapwaya sana...
Soma sana kwa juhudi mdogo wangu, huku kitaa watu wenye akili ka zako hua wanapwaya sana...
Room gan Bkock C?? Mm ilikuwa 250.....
si boom haitosh mkuu? Sasa starehe wanaifanyaje?Wanafunz weng wa UDSM ni wavivu wa kusoma
wanaendekeza starehe mno