Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

Haina haja ya kucalculate,,, naona ulijipinda ktk baadhi ya course zingine ukazipa kisogo.
Hata hivo nimegundua kuwa hujapita udsm. Umepita saint john au somewhere else

Dogo soma achana na maswala ya college kinachoangaliwa ni kutusua ktk maisha hata ungesoma wapi,nimemesoma hapo udBS...na ukimaliza nitafute
 
Dogo soma achana na maswala ya college kinachoangaliwa ni kutusua ktk maisha hata ungesoma wapi,nimemesoma hapo udBS...na ukimaliza nitafute
Ni miaka minne sasa tangu nivae joho pale mlimani city. Nitarudi Udsm for masters very soon
 
supu ni sehemu ya maisha ya chuo,komaaa.................
 
Duuh uongo mbaya,leo nimekubamba,unakumbuka tulipokua tunabishana ukajidai umegraduate 2012,uongo sio kitu kizuri kabisa,then ulinipiga majungu eti maybe nimekosa hela ya mkopo nimechanganyikiwa,kumbe wewe unasanda msosi wa buku jero,mimi cna mkopo lakini nakula vzur kuliko wewe mwenye mkopo,chz Mkubwa,uache uongo

Mkuu unatatizo gani??
Mbona hata unachosema hakieleweki kaka??
Pitia vizuri ubongo wako, kuna nati zimelegea.
 
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..

Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over

Ha ha ha Perry; karamagi hafai namkumbuka sana enzi hizo japo alinikosa kosa lakini dah...dr kwa kukamata tu yupo vizuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Tyta njoo utupe data za huyu dogo..alitudanganya kipindi flani kwamba anasoma COET mambo ya umeme..leo anamuongelea dr karamagi wa uchumi kampa sup.. we dogo una matatizo sana..

Teh teh teh hata mi nakumbuka huyu Perry alisemaga anasoma engineering hapo COET nimeshangaa Leo kaja na swaga za Economics ha ha ha Advocate J njoo umuone senator0001 Leo kadakwa uongo

CC: Remote Excel
 
Last edited by a moderator:
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..

Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over

Kma ni kilaza ulitaka afanyaje?
 
Soma sana kwa juhudi mdogo wangu, huku kitaa watu wenye akili ka zako hua wanapwaya sana...

Naona u miongoni mwa kima waliorejea kwa mlango Wa nyuma ( ID fake) don't worry muda wako utafika na yatajulikana tu
 
Na bado kuna hawa dvsn 5 nao wapo njiani
 
Yote tisa ukiona umepata supp maana yake uwezo wako wa kitaaluma ni mdogo

haiwezekan wenzako wasiwe na supp miaka yote halafu ww unakuwa nayo....

Ahahaha kuna wengine kila mwaka wa masomo lazima apate supp duhhhh
 
Back
Top Bottom