Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
wali wa mpemba mmh sijui anaweka yeast maana unakula leo unasikia njaa baada ya siku 2
nimemis chapati za kwa mama muarabu
masai dada, bora ukae kimya tu. Kuna watu humu hawataki kusikia mtu kasoma udsm, it's as if you're offending them.
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..
Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over
Usijitetee wewe si wa kwanza kubukua hapo, watu tumepita hapo tena kitambo wakati muhandisi unatoka muhandisi kweli sio sasa hivi michakachuo kibao...mimi ni graduate wa 2002 nafahamu A-Z za hapo mlimani, wanaoshikwa vilaza wacheza viduku na disco!
Kuna sehemu hapo mabibo panaitwa kwa mama kifusi nenda pale upate wali utaoshindwa kumaliza mkuu, nadhani siku nikitembelea mabibo hostel nitaenda pale kujikumbushia maisha ya chuo, then kuna wamama pale geti maji wanauza misosi nawakumbuka sana
Samahani kwa kuingilia,
Eti nasikia tarehe ya kufungua chuo (UDSM) imesogezwa mbele hadi tarehe 18 October.
Kuna mwenye Uhakika katika hili wana Jamvi?
We ni muongo na hujasoma udsm bwe9e wewe
hivi unaijua shule ya UDSM wewe usikurupuke
kudwkwa pale ni kawaida si mshangao huo
loooh namkumbuka lyaruuu
We ni muongo na hujasoma udsm bwe9e wewe
wali wa mpemba mmh sijui anaweka yeast maana unakula leo unasikia njaa baada ya siku 2
nimemis chapati za kwa mama muarabu
aya mkuu,naxhukuru xana,ubarikiwe ktk maixha yako.
Lazima usiamini F.A.L.A kwa Kuwa vilaza ni wagumu kuelewa that's why supp kwao ni sifa hadi kufikia kujitangaza JF na kuona wao pekee ndo wamesoma pale Udsm na kutaka kudanganya wengine wasiojua mazingira ya pale.Sasa wewe kilaza wa nguvu chomoa dude(supp) hilo kwanza litaleza madhara ma.ta.koni!
Na zile tosti mkuu moja mia2 ukila 2 siku imepita
Na zile tosti mkuu moja mia2 ukila 2 siku imepita