Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
wali wa mpemba mmh sijui anaweka yeast maana unakula leo unasikia njaa baada ya siku 2
nimemis chapati za kwa mama muarabu
Ha ha ha loh hafu watu walikua hadi wapanga foleni itakua wanaweka amira na maviungo