GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Pale unaanza kumsogeza demu unamsifia ,unajua wewe mzuri sijui mrembo ,una miguu mizuri sijui, napenda tabasamu lako, na blablaa nyingine, ili mradi tuu ajue kuwa umemwelewa.
Demu nae kujifanya hapendi sifa, anajibu ,hapana mimi niko kawaida.
Mara nyingi ni kweli kiuhalisia huyo demu ni wa kawaida.
Kama huamini kaa nae kwenye mahusiano hata wiki mbili.
kula mzigo ndio utaona kumbe ni wa kawaida kweli.