Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
Aiseeeee......dogo fala sana tena mpumbavu. Ni wale form four failure akapata cheti sijui cha nini kwa certificate then diploma ndo akaletwa huku ni bogus sana.Snitch sio rafiki na mnafiki hafadhiliki kwakweli.
#Hallelujah
Na ni mshirkina sana mamaeee....mchawi kabisa mbwa huyu . Nitamwonesha sasa haupiti mwezi. Mtasikia tu mlio.Asije akakupiga sumu huyo lofa. Uchawi unaanzaga hivyo. Ulimuweza sana. 🤣
October tunatikii ✅Nlimkaribisha kazini miaka ya 2013. Leo hii ananipigia simu anaweka loud speaker wakubwa zangu wanisikie aki record kutaka nishikisha moto.
Jamaa huyu kisa ni last week nliponda kuwa tumekosa weledi tunawatumia wanasiasa ambao hata akili hawana katika huu uchaguzi wanajulikana ni mapandikizi wetu. Nikasema kuwa kwa sasa hatuna weledi kabisa ni uchawa mpaka idara nyeti inaaibika.
Leo kanipigia simu kisha akawa ameweka loud speaker kujifanya anataka tuongelee ile issue tena. Sasa mtu kama hana akili hana akili tu. Ananiuliza.
Mkuu unakumbuka yale mazungumzo tuliongea juzi?
Nikamuuliza yapi?
Anasema si yale ya kuwa idara yetu imekosa weledi kwa sasa.
Nikamshangaa sana kuwa amechanganya namba au amekunywa leo kama kawaida yake akilewa anaropoka ropoka?
Akajishtukia.wakati huo mi nasikiliza mazingira yake. Mwishoni nikamwambia aache ubwabwa wake akafanye kazi mi sipendi mazoea ya kipumbavu kazini. Nikamporomoshea matusi kinyama. Akakata simu.
Muda huu nimeonana na jamaa yangu akaniambia muda ule unaongea kwenye simu umechana mkeka wa mtu kuna mtu alikuwa anapiga bingo kupitia kwangu apande na cheo. Nimemchania mkeka vibaya na ameonekana mnafiki na mchonganishi.
Sisi wahuni lakini tuna akili.
Safi sana , mkaushie kabisa. Watu wenye roho mbaya kama huyo sio wa kujadiliana nao.Nlimkaribisha kazini miaka ya 2013. Leo hii ananipigia simu anaweka loud speaker wakubwa zangu wanisikie aki record kutaka nishikisha moto.
Jamaa huyu kisa ni last week nliponda kuwa tumekosa weledi tunawatumia wanasiasa ambao hata akili hawana katika huu uchaguzi wanajulikana ni mapandikizi wetu. Nikasema kuwa kwa sasa hatuna weledi kabisa ni uchawa mpaka idara nyeti inaaibika.
Leo kanipigia simu kisha akawa ameweka loud speaker kujifanya anataka tuongelee ile issue tena. Sasa mtu kama hana akili hana akili tu. Ananiuliza.
Mkuu unakumbuka yale mazungumzo tuliongea juzi?
Nikamuuliza yapi?
Anasema si yale ya kuwa idara yetu imekosa weledi kwa sasa.
Nikamshangaa sana kuwa amechanganya namba au amekunywa leo kama kawaida yake akilewa anaropoka ropoka?
Akajishtukia.wakati huo mi nasikiliza mazingira yake. Mwishoni nikamwambia aache ubwabwa wake akafanye kazi mi sipendi mazoea ya kipumbavu kazini. Nikamporomoshea matusi kinyama. Akakata simu.
Muda huu nimeonana na jamaa yangu akaniambia muda ule unaongea kwenye simu umechana mkeka wa mtu kuna mtu alikuwa anapiga bingo kupitia kwangu apande na cheo. Nimemchania mkeka vibaya na ameonekana mnafiki na mchonganishi.
Sisi wahuni lakini tuna akili.
Kazini Kuna kazi ndio hii sasaHongera kwa kukwepa mtego, hizo mambo ndio zilimponza odo.
Ila kazini 🙌
Pole sana, bila shaka mtu huyo atakuwa wa Katavi, Mhehe wa Iringa au muha wa kibondo na labda mtu wa Mara🙌Nlimkaribisha kazini miaka ya 2013. Leo hii ananipigia simu anaweka loud speaker wakubwa zangu wanisikie aki record kutaka nishikisha moto.
Jamaa huyu kisa ni last week nliponda kuwa tumekosa weledi tunawatumia wanasiasa ambao hata akili hawana katika huu uchaguzi wanajulikana ni mapandikizi wetu. Nikasema kuwa kwa sasa hatuna weledi kabisa ni uchawa mpaka idara nyeti inaaibika.
Leo kanipigia simu kisha akawa ameweka loud speaker kujifanya anataka tuongelee ile issue tena. Sasa mtu kama hana akili hana akili tu. Ananiuliza.
Mkuu unakumbuka yale mazungumzo tuliongea juzi?
Nikamuuliza yapi?
Anasema si yale ya kuwa idara yetu imekosa weledi kwa sasa.
Nikamshangaa sana kuwa amechanganya namba au amekunywa leo kama kawaida yake akilewa anaropoka ropoka?
Akajishtukia.wakati huo mi nasikiliza mazingira yake. Mwishoni nikamwambia aache ubwabwa wake akafanye kazi mi sipendi mazoea ya kipumbavu kazini. Nikamporomoshea matusi kinyama. Akakata simu.
Muda huu nimeonana na jamaa yangu akaniambia muda ule unaongea kwenye simu umechana mkeka wa mtu kuna mtu alikuwa anapiga bingo kupitia kwangu apande na cheo. Nimemchania mkeka vibaya na ameonekana mnafiki na mchonganishi.
Sisi wahuni lakini tuna akili.
Watumishi tunalogwa sana ndio maana pesa zetu hazikaii mwezi mzimaPoleni sana watumishi.. kazini hakuna siri, winda & makinika kwa kila anayekatiza.
Utajuaje kama mtu amekuweka loud speaker!?Nlimkaribisha kazini miaka ya 2013. Leo hii ananipigia simu anaweka loud speaker wakubwa zangu wanisikie aki record kutaka nishikisha moto.
Jamaa huyu kisa ni last week nliponda kuwa tumekosa weledi tunawatumia wanasiasa ambao hata akili hawana katika huu uchaguzi wanajulikana ni mapandikizi wetu. Nikasema kuwa kwa sasa hatuna weledi kabisa ni uchawa mpaka idara nyeti inaaibika.
Leo kanipigia simu kisha akawa ameweka loud speaker kujifanya anataka tuongelee ile issue tena. Sasa mtu kama hana akili hana akili tu. Ananiuliza.
Mkuu unakumbuka yale mazungumzo tuliongea juzi?
Nikamuuliza yapi?
Anasema si yale ya kuwa idara yetu imekosa weledi kwa sasa.
Nikamshangaa sana kuwa amechanganya namba au amekunywa leo kama kawaida yake akilewa anaropoka ropoka?
Akajishtukia.wakati huo mi nasikiliza mazingira yake. Mwishoni nikamwambia aache ubwabwa wake akafanye kazi mi sipendi mazoea ya kipumbavu kazini. Nikamporomoshea matusi kinyama. Akakata simu.
Muda huu nimeonana na jamaa yangu akaniambia muda ule unaongea kwenye simu umechana mkeka wa mtu kuna mtu alikuwa anapiga bingo kupitia kwangu apande na cheo. Nimemchania mkeka vibaya na ameonekana mnafiki na mchonganishi.
Sisi wahuni lakini tuna akili.
Kwa sasa wanatafutwa wanaoonekana hawaungi mkono ushetani....inaonekana ndo wanavujisha taarifa kwa watu. Hakuna kuaminiana kwa sasa. Sasa sisi wengine tunaelewa haya maisha hutuingizi mkenge kisengeeh.ummy mwalimu ana lia huko aliko, wahuni wali mjaza aka jaa