Kuna jamaa alikuwa anataka kunichomesha kwa Viongozi

Kuna jamaa alikuwa anataka kunichomesha kwa Viongozi

Daaah mwanasheria wangu hana muhuri😂😂😂😂

Alikua anasema bi mdashi anapiga sana kilaji afu akilewa ndio naniliuu sijui aaaah utaniletea chakula
🤣🤣Tuishie hapo ndugu yangu kikubwa nimepata picha , uraiani ni patamu kila mtu anapapenda😂
 
Nlimkaribisha kazini miaka ya 2013. Leo hii ananipigia simu anaweka loud speaker wakubwa zangu wanisikie aki record kutaka nishikisha moto.

Jamaa huyu kisa ni last week nliponda kuwa tumekosa weledi tunawatumia wanasiasa ambao hata akili hawana katika huu uchaguzi wanajulikana ni mapandikizi wetu. Nikasema kuwa kwa sasa hatuna weledi kabisa ni uchawa mpaka idara nyeti inaaibika.

Leo kanipigia simu kisha akawa ameweka loud speaker kujifanya anataka tuongelee ile issue tena. Sasa mtu kama hana akili hana akili tu. Ananiuliza.

Mkuu unakumbuka yale mazungumzo tuliongea juzi?

Nikamuuliza yapi?

Anasema si yale ya kuwa idara yetu imekosa weledi kwa sasa.

Nikamshangaa sana kuwa amechanganya namba au amekunywa leo kama kawaida yake akilewa anaropoka ropoka?

Akajishtukia.wakati huo mi nasikiliza mazingira yake. Mwishoni nikamwambia aache ubwabwa wake akafanye kazi mi sipendi mazoea ya kipumbavu kazini. Nikamporomoshea matusi kinyama. Akakata simu.

Muda huu nimeonana na jamaa yangu akaniambia muda ule unaongea kwenye simu umechana mkeka wa mtu kuna mtu alikuwa anapiga bingo kupitia kwangu apande na cheo. Nimemchania mkeka vibaya na ameonekana mnafiki na mchonganishi.

Sisi wahuni lakini tuna akili.
mm huwa nawaonea gere watu wa idara nyeti kuwa mna mamishahara na ma per diem makubwamakubwa kumbe uko nako kuna fitina ili mtu apande cheo apate limshahara likubwaaa daaah.......aliyenambia nichague laboratory technician alinipoteza mjinga yule alaaniwe
 
Mkuu ulifanya jambo jema sana na kuna wengne ni washenzi sana anaweza kukufata ana kuuliza viswali eti
"Unaona boss flan atatoboa kweli" huku anakurekodi anapeleka taarifa yani ushenzi mtupu
 
Na kama wewe uko kitengo Fulani alafu wakakugundua unatumia jf, wanaanza kukufuatilia , alafu ufuatiliaji wao ni wa kishamba sana , kisasa ya kwamba mfwatiliwaji unawagundua kirahisi
 
Utajuaje kama mtu amekuweka loud speaker!?
Mara nyingi simu ikiwa loud hua inanasa sauti nyingine zinazosikika pembeni na mzungumzaji kama mazingira yale hayapo tulivu, hivyo ni rahisi kujua kama kakuweka loud au mara nyingine sauti inakuwa na ka mwangwi (echo) kwa mbaaali utajua tu kwa watu wa Havanna au Santa Clara hauhitaji kutumia nguvu nyingi.
 
Huyo kima alitaka kukupigisha shoti, hata hivyo ofisini sio sehemu ya kujenga urafiki kabisa.
Ibaki kushirikiana kupiga kazi baada ya hapo kila mtu asepe na mishe zake na sio kushirikishana private life.
Ikikulazimu sana unatafuta pisi kadhaa unakuwa unazibwenga vizuri zinakuwa zinakupa details zote za mienendo ya hapo ofisini (ukipata pisi ya masijala ndiyo mwake maana wana info zote za kiutendaji na za kijamii) ambazo utazitumia kujiimarisha kiintelijensia hapo ofisini.
Sisi wazee wa zamani zilitusaidia sana hizo mbinu tukajikuta tunakuwa well detailed about the agency even on your absence.
 
Mara nyingi simu ikiwa loud hua inanasa sauti nyingine zinazosikika pembeni na mzungumzaji kama mazingira yale hayapo tulivu, hivyo ni rahisi kujua kama kakuweka loud au mara nyingine sauti inakuwa na ka mwangwi (echo) kwa mbaaali utajua tu kwa watu wa Havanna au Santa Clara hauhitaji kutumia nguvu nyingi.
Shukrani
 
Oya huyo mjinga ni wa kumumaliza au tumtengenezee matatizo

Wajinga wajinga wa hvyo ni kuwamaliza tu

Nicheck nikusaidie 0786673536
 
Back
Top Bottom