Kuna jamaa alikuwa anataka kunichomesha kwa Viongozi

Kuna jamaa alikuwa anataka kunichomesha kwa Viongozi

Utajuaje kama mtu amekuweka loud speaker!?

Kuna mwangwi, kuna vitu vingi sana lakini pia kuna kumsikiliza anavyoongea unajua kuna tension flani ikiwa anakutega. Na pia sisi wengine tushafanya sana hizo kazi kuna namna ukiongea tunakushtukia kabisa. Siyo kama akina Membe na Kinana wali rekodiwa kibwege sababu hawakuwa na akili. Mkiwa watatu unahisi mmoja wenu anapoongea ana umakini....
 
Utajuaje kama mtu amekuweka loud speaker!?
We chalk kweli!!

Mtu anakupigia simu then anakuuliza "Hivi unakumbuka juzi ulivyokua unamchana boss?"

Wakati unamchana boss, wewe na yeye mlikua mnamuita mxeng3!! Sasa anakupigia anamuita boss then anaendelea.....

"Nimegundua uliyosema ni kweli....."

Hustuki hapo??
 
Ulijuaje au baada ya kuambiwa?
Na usingejua ingekuaje?
Na vp kama tangu sk nyingi alishakufanyia hivyo na haukujua?
 
Mpaka nmecheka.hawa jamaa wasengeee sana.
 
Kwa sasa wanatafutwa wanaoonekana hawaungi mkono ushetani....inaonekana ndo wanavujisha taarifa kwa watu. Hakuna kuaminiana kwa sasa. Sasa sisi wengine tunaelewa haya maisha hutuingizi mkenge kisengeeh.
Kuna mwana alisha sema mazungumzo yetu yaki vuja, halafu mimi ndio nika onekana mbaya basi nakupiga kitu kizito.
 
Mtafute na demu wake wa mtaani umkazie kabisa

Wahuni noma😂😂!!

Kuna mwangwi, kuna vitu vingi sana lakini pia kuna kumsikiliza anavyoongea unajua kuna tension flani ikiwa anakutega. Na pia sisi wengine tushafanya sana hizo kazi kuna namna ukiongea tunakushtukia kabisa. Siyo kama akina Membe na Kinana wali rekodiwa kibwege sababu hawakuwa na akili. Mkiwa watatu unahisi mmoja wenu anapoongea ana umakini....
Asante kwa kunijuza
 
Hakuna urafiki sehemu ya kazi, hao ni wafanyakazi wenzako (work mate) kazi ndio imewaunganisha na si zaidi, jitajihidi kuwa professional kwenye mazungumzo na matendo.

Mitazamo yako ya kisiasa na maisha yako binafsi nje ya ofisi si muhimu kazini.
 
Ulijuaje au baada ya kuambiwa?
Na usingejua ingekuaje?
Na vp kama tangu sk nyingi alishakufanyia hivyo na haukujua?

Huwa sizungumzi naye issues hizo kwa simu hata siku moja. Siku ya nyuma yenyewe nlizungumza naye live kwa kumshtukiza na makusudi nlilenga kumwonesha yeye na wenzie ni vilaza.
 
Tatizo sio jamaa yako,tatizo ni hao viongozi wanaoamini wewe ulikuwa unaongea jambo baya,na unafaa kuchukuliwa hatua.

Watu hawasujudii utawala,wanasujudia matumbo yao,hata huyo anayedhani wako pamoja naye angetuliza akili angejua wengi hawako pamoja nayeye ila wako naye tu.
 
Back
Top Bottom