Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
- Thread starter
-
- #21
Utajuaje kama mtu amekuweka loud speaker!?
Watumishi tunalogwa sana ndio maana pesa zetu hazikaii mwezi mzima
Sauti inakosa utulivuUtajuaje kama mtu amekuweka loud speaker!?
We chalk kweli!!Utajuaje kama mtu amekuweka loud speaker!?
Pole sana, bila shaka mtu huyo atakuwa wa Katavi, Mhehe wa Iringa au muha wa kibondo na labda mtu wa Maraπ
Mpaka nmecheka.hawa jamaa wasengeee sana.We chalk kweli!!
Mtu anakupigia simu then anakuuliza "Hivi unakumbuka juzi ulivyokua unamchana boss?"
Wakati unamchana boss, wewe na yeye mlikua mnamuita mxeng3!! Sasa anakupigia anamuita boss then anaendelea.....
"Nimegundua uliyosema ni kweli....."
Hustuki hapo??
Kuna mwana alisha sema mazungumzo yetu yaki vuja, halafu mimi ndio nika onekana mbaya basi nakupiga kitu kizito.Kwa sasa wanatafutwa wanaoonekana hawaungi mkono ushetani....inaonekana ndo wanavujisha taarifa kwa watu. Hakuna kuaminiana kwa sasa. Sasa sisi wengine tunaelewa haya maisha hutuingizi mkenge kisengeeh.
Mtafute na demu wake wa mtaani umkazie kabisa
Wahuni nomaππ!!
Asante kwa kunijuzaKuna mwangwi, kuna vitu vingi sana lakini pia kuna kumsikiliza anavyoongea unajua kuna tension flani ikiwa anakutega. Na pia sisi wengine tushafanya sana hizo kazi kuna namna ukiongea tunakushtukia kabisa. Siyo kama akina Membe na Kinana wali rekodiwa kibwege sababu hawakuwa na akili. Mkiwa watatu unahisi mmoja wenu anapoongea ana umakini....
ShangaziπHongera kwa kukwepa mtego, hizo mambo ndio zilimponza odo.
Ila kazini π
Aisee maana nachungulia salio hapa naona nimebakia na elfu 40 tu πππ€£π€£ hakuna anayeloga hela ziishe. We track matumizi yako tu.
Ulijuaje au baada ya kuambiwa?
Na usingejua ingekuaje?
Na vp kama tangu sk nyingi alishakufanyia hivyo na haukujua?
π€£π€£ Kwahiyo odo alirekodiwaHongera kwa kukwepa mtego, hizo mambo ndio zilimponza odo.
Ila kazini π
Odo alikua anamwaga ubuyu watu wakamrekodi, maza akazipata clip....kawekwa benchi ππ€£π€£ Kwahiyo odo alirekodiwa
Watu aina hiyo ndiyo hupelekea binadamu wema kuwa na roho za kikauzu.Aiseeeee......dogo fala sana tena mpumbavu. Ni wale form four failure akapata cheti sijui cha nini kwa certificate then diploma ndo akaletwa huku ni bogus sana.
Kwa SISI AMBAO TUMEWAI kuwa ma CUSTOMER SERVICE SUPPORT HUWA TUNAJUA TU.Utajuaje kama mtu amekuweka loud speaker!?
Mimi NISINGE muweka bench ninge mwita na kumuwekea zile clip zake hapo ndipo ile maana halisi ya MCHAWI MPE MTOTO/ MWANAO AKULELEEEπππOdo alikua anamwaga ubuyu watu wakamrekodi, maza akazipata clip....kawekwa benchi π