Kuna jamaa alikuwa anataka kunichomesha kwa Viongozi

Ndi
Ndio inavyotakiwa
 
Kwa SISI AMBAO TUMEWAI kuwa ma CUSTOMER SERVICE SUPPORT HUWA TUNAJUA TU.

HAAAHAA πŸ˜‚ 😁 DAWA YAO NI KUWA HADAA NA SLOGAN YA OCTOBER TUNATIKII βœ…

Ha ha ha. Na wengi wameshagundu ndo wanajifanya hivyo kuwa october tunatick ili watoto waendelee kwenda chooni. Tunawindana sana kwa sasa
 
Kuna mtu alinijia diem anajifanya kusapoti upuuzi fulani wa kisiasa mi nikamcrush na kumblock tangia niwe mkosoaji nimefunga dm na kuweka kila kitu private sitaki unduguzation
 
Kwa visasi vya kina mama Odo hata akipata uDAS akatoe sadaka.

Kwakweli ni kipindi kibaya.
Watampa sifa kuu ya Ccm huwa hawatupani moja kwa moja.

Unaweza kukaa benchi 1-2yrs Ila ukashangaa jina lako linatokeza .

Kwa umri wa Odo , namuona akila teuzi then kumbuka mtu Kama Odo hata Kama alimteta Mama Ila lazima ana watu wake serikalini ambao wanaweza muombea msamaha.
 
Kuna mtu alinijia diem anajifanya kusapoti upuuzi fulani wa kisiasa mi nikamcrush na kumblock tangia niwe mkosoaji nimefunga dm na kuweka kila kitu private sitaki unduguzation
Bora umemkataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…