🤣🤣Tuishie hapo ndugu yangu kikubwa nimepata picha , uraiani ni patamu kila mtu anapapenda😂Daaah mwanasheria wangu hana muhuri😂😂😂😂
Alikua anasema bi mdashi anapiga sana kilaji afu akilewa ndio naniliuu sijui aaaah utaniletea chakula
mm huwa nawaonea gere watu wa idara nyeti kuwa mna mamishahara na ma per diem makubwamakubwa kumbe uko nako kuna fitina ili mtu apande cheo apate limshahara likubwaaa daaah.......aliyenambia nichague laboratory technician alinipoteza mjinga yule alaaniweNlimkaribisha kazini miaka ya 2013. Leo hii ananipigia simu anaweka loud speaker wakubwa zangu wanisikie aki record kutaka nishikisha moto.
Jamaa huyu kisa ni last week nliponda kuwa tumekosa weledi tunawatumia wanasiasa ambao hata akili hawana katika huu uchaguzi wanajulikana ni mapandikizi wetu. Nikasema kuwa kwa sasa hatuna weledi kabisa ni uchawa mpaka idara nyeti inaaibika.
Leo kanipigia simu kisha akawa ameweka loud speaker kujifanya anataka tuongelee ile issue tena. Sasa mtu kama hana akili hana akili tu. Ananiuliza.
Mkuu unakumbuka yale mazungumzo tuliongea juzi?
Nikamuuliza yapi?
Anasema si yale ya kuwa idara yetu imekosa weledi kwa sasa.
Nikamshangaa sana kuwa amechanganya namba au amekunywa leo kama kawaida yake akilewa anaropoka ropoka?
Akajishtukia.wakati huo mi nasikiliza mazingira yake. Mwishoni nikamwambia aache ubwabwa wake akafanye kazi mi sipendi mazoea ya kipumbavu kazini. Nikamporomoshea matusi kinyama. Akakata simu.
Muda huu nimeonana na jamaa yangu akaniambia muda ule unaongea kwenye simu umechana mkeka wa mtu kuna mtu alikuwa anapiga bingo kupitia kwangu apande na cheo. Nimemchania mkeka vibaya na ameonekana mnafiki na mchonganishi.
Sisi wahuni lakini tuna akili.
AsanteKunakuwa na mwangwi kama mtu yupo kwenye ukumbi na maneno yako kama yanajirudia mwishoni
Mara nyingi simu ikiwa loud hua inanasa sauti nyingine zinazosikika pembeni na mzungumzaji kama mazingira yale hayapo tulivu, hivyo ni rahisi kujua kama kakuweka loud au mara nyingine sauti inakuwa na ka mwangwi (echo) kwa mbaaali utajua tu kwa watu wa Havanna au Santa Clara hauhitaji kutumia nguvu nyingi.Utajuaje kama mtu amekuweka loud speaker!?
ShukraniMara nyingi simu ikiwa loud hua inanasa sauti nyingine zinazosikika pembeni na mzungumzaji kama mazingira yale hayapo tulivu, hivyo ni rahisi kujua kama kakuweka loud au mara nyingine sauti inakuwa na ka mwangwi (echo) kwa mbaaali utajua tu kwa watu wa Havanna au Santa Clara hauhitaji kutumia nguvu nyingi.