Kuna jamaa humu aliwahi kuandika kuwa kupigana kwa Israel na Iran ni mpango wa Mungu kuwapa ushindi Hamas. Msipende kumhusisha Muumba na vituko vyenu

Kuna jamaa humu aliwahi kuandika kuwa kupigana kwa Israel na Iran ni mpango wa Mungu kuwapa ushindi Hamas. Msipende kumhusisha Muumba na vituko vyenu

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Mimi nadhani mnachanganya Mungu na itikadi yenu.

Ya Mungu ni ya Mungu, ya itikadi yenu ni itikadi

Kwa hio Mungu ndio aliwatuma hamas kwenda kila nyumba na kuua kila familia na kuwachoma moto?

Mungu ndie muhasisi wa ugaidi wa iran, hezbollah na hamas?

Washamba kwwli nyie
 
Wewe nae hayo ni matumizi mabaya ya hasira sasa unachukia maoni ya mtu.. huyo mwenyewe hajawahi kuongea na Mungu sasa hayo ni maoni tu usikasirike
 
MUUMBA MWENYEWE NI DHAIFU NDIO MAANA ANAONEWA NA KUSINGIZIWA.
 
Mimi nadhani mnachanganya Mungu na itikadi yenu.

Ya Mungu ni ya Mungu, ya itikadi yenu ni itikadi

Kwa hio Mungu ndio aliwatuma hamas kwenda kila nyumba na kuua kila familia na kuwachoma moto?

Mungu ndie muhasisi wa ugaidi wa iran, hezbollah na hamas?

Washamba kwwli nyie
Tatizo sio ushamba wako tuu bali uduni wa elimu hususan historia.
Ukitaka kujua ugaidi ulianzia kwa nani rejea kuanzishwa hii Israel ya sasa kuanzia manusura wa Reich Fuhrer Adolf Hitler walipotoroka Ulaya na kukimbilia Palestine 1943 - 1948
Tafuta ujue Haganah walikuwa nani na Menachem Begin akifanya ugaidi kwa Waingereza na WA Palestine mpaka wakaanzisha Taifa.
Iqnorance is bliss
Kuna MEMKWA siku hizi rudi darasani
 
Back
Top Bottom