Anauza bidhaa gani maana kuna wale huuza bidhaa Kama mandazi anakuongezea mandazi ambayo yamekaa siku mbili au anakuongezea bidhaa inayokaribia Ku-expireAnanifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze.
Huyu jamaa atakua anashida gani huyu?
uskute anakuona kama MshangaziAnanifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze.
Huyu jamaa atakua anashida gani huyu?
Muuzaji anataka kopo la sukariAtakuwa anatoka Mombasa Huyo