Mwana huwa anajisifia uzuri hahahaaNadhani ni kutokana na uzuri wako
Kinyesi kinapakulikaMwamba anataka kukula mzigo🤣🤣🤣🤣
Haya sema kiasi gani na mara ngapiUnajua ni kiasi gani na ni marangapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umekaka kishoga shoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wewe mpaka leo bado tu hujapata mtu wakukukanda kisawasawa mpaka akili zikurudie?
Kwa nyongeza ya mchele.Kinyesi kinapakulika
Wewe ndiye mwenye shida.Ananifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze.
Huyu jamaa atakua anashida gani huyu?
Aseme mara ngapi dear? Ni hivi mabazazi ya JF hawaja muelewa.Ukipigwa vizuri utasema ukweli
Wachukie ili iweje? Stress za watukanaji wao zinawahusu nn? LolHivi kwanini mashoga hata wakitukanwa hawachukii?
Astaghafilullah!! Kwahyo kijana hua unaendaga gengeni kununua vitu ukarangize 😳Ni genge, ananifanya nakua kama mtoto wa kike, hela ndogo mfuko unajaa
Unajisikiaje kuongea uongo, mtoto wakike sura imekuparamaAseme mara ngapi dear? Ni hivi mabazazi ya JF hawaja muelewa.
Pa1 na kujinadi ye mzuri na picha akaweka, lakini waja wamegoma kumpa anachohitaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]