Weka picha yako tuone sebuleni na uani kukoje ili tuweze kutoa maoni ya uhakika.Ananifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze.
Huyu jamaa atakua anashida gani huyu?
😂😂😂😂😂😂Mpe unyumba
😂😂😂😂😂😂😂Umekaka kishoga shoga
Hujambo confession?Ukipigwa vizuri utasema ukweli
AtakulombaAnanifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze.
Huyu jamaa atakua anashida gani huyu?
Huna inachojua, yule dada ananitaka af mi simtakiMimi sihukumu hata mara moja
Ila Juzi toka utake kushindana uzuri wa sura na bibiye bantu lady
Niliona tumepigwa za uso
Kwaherii
DIVISHENI FOO kijana anataka kubamizwa kama kawaida yako