DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Ebu nitag huo uzi maana kwa sasa vijana wamebadilika sanaDaah nilikua sijaelewa ile nyuzi yako ya juzi aisee sasa nimeelewa daah kazi ipo hapa..
Ebu nitag huo uzi maana kwa sasa vijana wamebadilika sanaDaah nilikua sijaelewa ile nyuzi yako ya juzi aisee sasa nimeelewa daah kazi ipo hapa..
Kaona papai limeiva anataka kuligida
😁😁 nimetapika bia yangu na mapicha yako bro
Chakula hiyo mkuu na walaji inaonekana wapo wengi..Ebu nitag huo uzi maana kwa sasa vijana wamebadilika sana
Hiii donati ina shida gani sasa bro😁😁 nimetapika bia yangu na mapicha yako bro
Jiandae kuliwa jichoAnanifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze.
Huyu jamaa atakua anashida gani huyu?
Anafanya marketing sio !?Chakula hiyo mkuu na walaji inaonekana wapo wengi..
Mimi napenda kitumbua cha mafuta mengi , donati situmii broHiii donati ina shida gani sasa bro
Umekaka kishoga shoga
Kuna tatizoUnamtizamo mbaya sana hiyo ni biashara lazima jamaa hawa fanyie wateja wake wafurahi, mimi niona sio tatizo hapo acha kufikiria vibaya watu.
Ni genge, ananifanya nakua kama mtoto wa kike, hela ndogo mfuko unajaaAnanifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze.
Huyu jamaa atakua anashida gani huyu?
Hahaha,sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini?
Unaushahidi gani kuwa anania mbaya ?Kuna tatizo
Jamani 😅Anataka akupakue kinyesi