Sina upuuzi huo mmHaiombwi hivyo dogo, tafuta mbinu nyingine
Hatari sana...
😹😹 Jumuiya ya kimataifa au??Uende jumuiya, labda utapata wa kukuonea huruma.
haszu una ujumbe wako hapa 😹😹Huyu hajakutana na micharazo ya maana.. anatakiwa achokonolewe na fimboyaukwaju hadi afanye Confession kuhusu EvilSpirit aliyo nayo
😹😹😹Sasa unatoa buza lulenge 20 hata laki sii Bora umpe Kaz ya kubeba box hapo tandamuti na congo Madam 😂
Maake akitoka hapo ni maumivu plus
astakafirullah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji175]sentence ya kwanza umeniita kwa mahaba hadi nime ignore yalioendelea “ Ila H..”
Kuna ex wangu alikua akisema “ Ila Hance …” umenikumbusha mbali sana mrembo.
I will make you tremble and shaking hysterically one day.[emoji419]
Haswaaa!!Napitwa na mengi haaaaa
So the guy ni attention seeker ah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemkamata. LolIna maana kumbe wewe ndio Hance Mtanashati kwa ID nyingine!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kakuona soda imeisha gesi [emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We ngoja siku akubananishe[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My man alisoma, kanikataza kujihusisha kwenye nyuzi za huyu kichaa wa mirembe. Hata hapa akiona ninatakiwa kujieleza kwanini nimejibu kwenye uzi wa huyu dada/kaka. Msinitag huku tena, ahsante.
Usiogope anania njema.Ananifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze.
Huyu jamaa atakua anashida gani huyu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mke si wewe mwenyewe [emoji81][emoji81]
Unatafuta wateja halafu unaleta jeuri..!!
Kapenda kiuwa hiko sheikhAnanifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze.
Huyu jamaa atakua anashida gani huyu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81] Jumuiya ya kimataifa au??
We buana tulia tangazo lako limeeleweka wanakuja piem wateja wako..!!