Kuna jamaa kila nikinunua kitu kwake, ananiongeza, nashindwa kumuelewa kabisa

Kuna jamaa kila nikinunua kitu kwake, ananiongeza, nashindwa kumuelewa kabisa

P
Aseme mara ngapi dear? Ni hivi mabazazi ya JF hawaja muelewa.
Pa1 na kujinadi ye mzuri na picha akaweka, lakini waja wamegoma kumpa anachohitaji.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha yake nainapata wapi Mkuu naweza nikamtafutia mteja
 
Taratibu utazoea wenzako walianza hvyo hvyo baadae ikawa inapita bila kupingwa ikitoka inatoa mlio wa speedo😋

Pokea usiache kupokea
 
Namaanisha we ni wakiume au wakike maana watu wanakuchanganyia mambo humu jukwaani
Watu gani hao wanao nichanganyia mambo? Na inahusu nn na mie kuwa me au ke?

Ila JF, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu gani hao wanao nichanganyia mambo? Na inahusu nn na mie kuwa me au ke?

Ila JF, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja alianzisha uzi wa wanawake watano anaowakubali zaidi hapa jf akakuweka namba moja, kuna watu walishangaa kuwa we wakiume unakuwaje namba moja kwenye list ya mademu
 
Kuna mmoja alianzisha uzi wa wanawake watano anaowakubali zaidi hapa jf akakuweka namba moja, kuna watu walishangaa kuwa we wakiume unakuwaje namba moja kwenye list ya mademu
Aaah kumbe!! Sasa hapo shida iko wapi? Je km huyo mwenye uzi ananiona mie mwanamke?

Mbna sioni tatizo hapo. Lol
 
Sasa kama ni genge mtaji wake si utaisha?
 
Sasa kama we ni wakiume unaachaje kuona tatizo kujumuishwa ukeni
Acha kuumiza kichwa, huyu ana kikundi chake humu ni mashoga, au bwabwa, ila wanasingizia wenzao. Angalia wote waliocomment ukinga ujue ni shoga huyo.
 
Back
Top Bottom