Kuna jamaa yangu alikua USAID akawa ananifungia vioo, leo kanitumia ujumbe kama nina mchongo wowote nimpasishie

Mssamehe tu mkuu, watu wengi wako hivyo. Mimi classmate wangu mmoja aliwahi kuoata kazi benki moja hivi, akapata vijisenti wakati wengine bado tunajitafta, akawa na maringo mengi sana hata kwenye group la darasa letu wa mwaka wetu akajitoa. Miaka michache iliyopita nadhani pale kazini paliota nyasi, akaanza kututafta ambao hatukua na chochote( kwa sasa tuna zaidi ya chochote)

Akaanza kuomba akopeshwe elfu 20, mara 30 eti atalipwa siku flani, siku flani. Akaanza kuomba akopeshwe kiwango cha pesa ambacho mimi siwezi kumkopesha mtu, below 100k sikukopeshi, nakupa tu, sasa ajabu mtu ananiomba nimkopeshe elfu 20 au 30 nikajiuliza sasa hii inamsaidia nini huyu boss?

Mpuuze tu mkuu.
Ngoja nikusapoti kwa visa hivi viwili vya kweli kabisa na kimoja ni cha miaka ya KARIBU Sana Sana

1. Miaka kadhaa nasoma A'level nilikua kama boya Tu, sikua na influence kihivyo na maisha hayakua mazuri sana japo hayakua mabaya Sana, alikuja Jamaa Mmoja, aiseee jamaa hajawahi hata kunisalimia, of course alikua Sahihi maana sikua wa "type" yake. Tulipokua chuo, huko Dar - UDSM nilishangaa napigiwa simu, tena miaka ile Ninamiliki Motorola C25, Jamaa alijitambulisha Sana Kwangu kuwa tulikua wote Darasa moja ila kwa kweli sikumkumbuka, nikakubali tuonane. Anyway, kwa kifupi Jamaa niliishi nae room moja Kwa gharama zangu kwa kipindi chote cha maisha ya UDSM.

Sikuwahi kumkumbusha Lolote la A"level Baya, Chuo nilimlisha Mimi tangu day one Hadi mwaka wa tatu nadhani alipopata Mkopo baada ya Serikali kusema kuwa mikopo ni ya wanafunzi wote, bado baada ya hapo alipomaliza Chuo hakuwahi kunitafuta na yeye alitangulia kupata KAZI Serikalini tena position nzuri Tu.
Huyu Jamaa Hadi ninavyoandika hapa, atanitafuta akiwa na Shida Tu ila wewe ukiwa na Shida ukamcheki aiseee trust me, huwezi ambulia hata elfu kumi. Ni maisha, nafurahi YANGU yanaenda na yake pia.

Kisa kingine, NAOMBA nisitaje mwaka, niliwahi kufanya KAZI kwenye NGO hizi kubwa Tu hapa nchini, tukapata Mradi Mkubwa sana na Sisi tukawa ndio PR (Prime recipient), kwahio kibunda nilikuepo, kama staffs WA ule Mradi tulikua na group letu la WhatsApp la kwetu Tu ukiacha lile la shirika, kwa bahati mbaya Sana, Mradi ule ulikatishwa mwaka wake wa tatu wa implementation, sasa wenzangu (baadhi) walihamishiwa kwenye miradi mingine na mashirika mengine, kwa bahati mbaya, akina Mimi tukaishia hapo.

Kwa kawaida Ile group iliendelea ku-exist na socialization za hapa na pale, sasa buana, kipindi tuko pale kuna mshkaji Sijui alikua na issue Gani ila mara nyingi sana alikua anaishiwa pesa kabla ya Muda wa salary, Nikawa nampiga tafu Sana na anarejesha bila Shaka.

The day nimekaa bench na yeye alikua miongoni mwa waliopata KAZI kwa NGO nyingine, maana ilikua kama Ile project zinafanana Tu, basi huwezi amini kuna siku nimebanwa na Niko kitaa, nikamrukia hewani jamaa, huwezi kuelewa but Jamaa alinitosa kama sio Mimi vile niliyekua msaada kwake, nikajaribu tena siku nyingine, nikadunda, basi sikuwahi kumcheki tena ila tupo wote kwa group na mara moja moja tunasalimiana japo wengine walivyofanikiwa Tu vipindi kile cha mpito na Kwa group wakajitoa.

Funzo, ishi maisha yako, usitarajie kutenda mema ili ulipwe mema! Mafanikio ya mwenzako got nothing to do with you!
 
Kwa hivi visa vyako,wewe ndio una matatizo.
 
Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID,kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per month ilikua ni pesa nyingi mno,jamaa akaanza maringo na akawa anatuona akina sisi ambao by that time tulikua majobless sio wa standard zake.imepita miaka kadhaa hatimae Trump kafanya yake huko.jamaa leo kanitumia ujumbe eti nikisikia au kama nina mchongo wowote nimpasishie.
Nimemjibu me niko nalima kijijini kwetu kama unaweza njoo tupige jembe,huo ndio mchongo nilionao kwa sasa.jamaa hajajibu kitu.
Hii hadithi mchongo, we ni mchawi unafurahia matatizo ya wenzako
 
Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID,kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per month ilikua ni pesa nyingi mno,jamaa akaanza maringo na akawa anatuona akina sisi ambao by that time tulikua majobless sio wa standard zake.imepita miaka kadhaa hatimae Trump kafanya yake huko.jamaa leo kanitumia ujumbe eti nikisikia au kama nina mchongo wowote nimpasishie.
Nimemjibu me niko nalima kijijini kwetu kama unaweza njoo tupige jembe,huo ndio mchongo nilionao kwa sasa.jamaa hajajibu kitu.
Sijaona tatizo la jamaa wako wa USAID.
 
Ni kweli upandalo ndio unalovuna.
 
Para ya mwisho imeni inspire mnoo!!!

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID,kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per month ilikua ni pesa nyingi mno,jamaa akaanza maringo na akawa anatuona akina sisi ambao by that time tulikua majobless sio wa standard zake.imepita miaka kadhaa hatimae Trump kafanya yake huko.jamaa leo kanitumia ujumbe eti nikisikia au kama nina mchongo wowote nimpasishie.
Nimemjibu me niko nalima kijijini kwetu kama unaweza njoo tupige jembe,huo ndio mchongo nilionao kwa sasa.jamaa hajajibu kitu.
Msamehe tu huyo...
 
Nimekubali kabisa, na TATIZO langu ni kuwa mwema kupitiliza! Najua wala hilo sio la kuniambia! Good morning
Kwa umri huu nilionao sioni haja ya kufurahia matatizo ya mtu iwe alinilipa kwa wema ama baya,

Mimi sio innocent sana Ila Bora ukae kimya, wanasema unachotoa ndo unachopokea

Kwann nijitrngenezee mnyororo wa karma zisizo na ulazima kwenye maisha yangu ama kizazi changu kijacho ?

Mlipe mtu kwa mema, kama huna mwambie tuu sina mtu anakuelewa fresh tuu,

Kipindi namaliza chuo nilipata job mapema tuu, lakini pindi contract inakuwa terminated wengine ndo wanaingia job ama intern kivyovyote na sikuwah mringia mtu juu ya kwamba I'm the winner not!

Tuishi kawaida tuwe humble wazee,
 
Back
Top Bottom