Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Sasa hapa unamshtaki au unatoa taarifa kwa umma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie mchongo upo kwa P.DIDDY.Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID,kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per month ilikua ni pesa nyingi mno,jamaa akaanza maringo na akawa anatuona akina sisi ambao by that time tulikua majobless sio wa standard zake.imepita miaka kadhaa hatimae Trump kafanya yake huko.jamaa leo kanitumia ujumbe eti nikisikia au kama nina mchongo wowote nimpasishie.
Nimemjibu me niko nalima kijijini kwetu kama unaweza njoo tupige jembe,huo ndio mchongo nilionao kwa sasa.jamaa hajajibu kitu.
MUNGU mwema kila wakati MpwaDaa imeniuma sana, huyo jamaa ajakutwa na visanga. Visa vyako kama vya kwangu yote maisha Mzee Baba , Piga moyo konde maisha yaendelee
Acheni watu wateseke Kwa amaniKuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID,kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per month ilikua ni pesa nyingi mno,jamaa akaanza maringo na akawa anatuona akina sisi ambao by that time tulikua majobless sio wa standard zake.imepita miaka kadhaa hatimae Trump kafanya yake huko.jamaa leo kanitumia ujumbe eti nikisikia au kama nina mchongo wowote nimpasishie.
Nimemjibu me niko nalima kijijini kwetu kama unaweza njoo tupige jembe,huo ndio mchongo nilionao kwa sasa.jamaa hajajibu kitu.
Mkuu ni kama umefurahia jamaa kushuka daraja 😀😀😀Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID,kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per month ilikua ni pesa nyingi mno,jamaa akaanza maringo na akawa anatuona akina sisi ambao by that time tulikua majobless sio wa standard zake.imepita miaka kadhaa hatimae Trump kafanya yake huko.jamaa leo kanitumia ujumbe eti nikisikia au kama nina mchongo wowote nimpasishie.
Nimemjibu me niko nalima kijijini kwetu kama unaweza njoo tupige jembe,huo ndio mchongo nilionao kwa sasa.jamaa hajajibu kitu.
MDHKAMPUNI GANI
VIzuri sana kwa kuwa hivyo ulivyo mkuu, Mungu atakufanikisha sana na hasa hizi siku za mwisho maana kwa jinsi roho yako ilivyo Mungu atakutumia sana katika hizi siku zilizobaki kabla hajashusha ghadhabu yake duniani.Una Roho ya kimaskini, ulichokifanya kimekuweka kwenye position ya kufanana nae, namshukuru MUNGU sijawahi kuwa na Roho ya kimaskini Kiasi hiki.
Nikikusaidia na ukafanikiwa, nitafurahi Sana, ukifanikiwa kabla Yangu, namshukuru MUNGU maana najua na Mimi Kesho Yangu ipo, nikifanikiwa kwa namna Yoyote ile, nitafurahi kuona nakua na Msaada Kwako.
Kama Una ubaya ni wa Kwako Sio wa Kwangu, siwezi kuumia kwa MTU mwingine kufanikiwa (mafanikio mema lakini) au siwezi kufurahia MTU mwingine akipata shida. Hii ndio Imani Yangu.
Inapunguza stress na unnecessary makasiriko
Piga chiniKuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID,kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per month ilikua ni pesa nyingi mno,jamaa akaanza maringo na akawa anatuona akina sisi ambao by that time tulikua majobless sio wa standard zake.imepita miaka kadhaa hatimae Trump kafanya yake huko.jamaa leo kanitumia ujumbe eti nikisikia au kama nina mchongo wowote nimpasishie.
Nimemjibu me niko nalima kijijini kwetu kama unaweza njoo tupige jembe,huo ndio mchongo nilionao kwa sasa.jamaa hajajibu kitu.
Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.

Wacha ujinga,uniletee roho mbaya harafu nikuchekelee? 🤣🤣🤣Una Roho ya kimaskini, ulichokifanya kimekuweka kwenye position ya kufanana nae, namshukuru MUNGU sijawahi kuwa na Roho ya kimaskini Kiasi hiki.
Nikikusaidia na ukafanikiwa, nitafurahi Sana, ukifanikiwa kabla Yangu, namshukuru MUNGU maana najua na Mimi Kesho Yangu ipo, nikifanikiwa kwa namna Yoyote ile, nitafurahi kuona nakua na Msaada Kwako.
Kama Una ubaya ni wa Kwako Sio wa Kwangu, siwezi kuumia kwa MTU mwingine kufanikiwa (mafanikio mema lakini) au siwezi kufurahia MTU mwingine akipata shida. Hii ndio Imani Yangu.
Inapunguza stress na unnecessary makasiriko
Hebu mlime block kwanza, pumbavu zakeKuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID,kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per month ilikua ni pesa nyingi mno,jamaa akaanza maringo na akawa anatuona akina sisi ambao by that time tulikua majobless sio wa standard zake.imepita miaka kadhaa hatimae Trump kafanya yake huko.jamaa leo kanitumia ujumbe eti nikisikia au kama nina mchongo wowote nimpasishie.
Nimemjibu me niko nalima kijijini kwetu kama unaweza njoo tupige jembe,huo ndio mchongo nilionao kwa sasa.jamaa hajajibu kitu.
Sasa mtu ambae analeta ujinga Kwa nini usifurahie?Mkuu ni kama umefurahia jamaa kushuka daraja 😀😀😀
Alikukomesha Kwa sababu haiwezekani mtu anakufanyia mtima nyongo harafu unaendelea kumuweka karibu akijifanya Malaika 😂😂Ngoja nikusapoti kwa visa hivi viwili vya kweli kabisa na kimoja ni cha miaka ya KARIBU Sana Sana
1. Miaka kadhaa nasoma A'level nilikua kama boya Tu, sikua na influence kihivyo na maisha hayakua mazuri sana japo hayakua mabaya Sana, alikuja Jamaa Mmoja, aiseee jamaa hajawahi hata kunisalimia, of course alikua Sahihi maana sikua wa "type" yake. Tulipokua chuo, huko Dar - UDSM nilishangaa napigiwa simu, tena miaka ile Ninamiliki Motorola C25, Jamaa alijitambulisha Sana Kwangu kuwa tulikua wote Darasa moja ila kwa kweli sikumkumbuka, nikakubali tuonane. Anyway, kwa kifupi Jamaa niliishi nae room moja Kwa gharama zangu kwa kipindi chote cha maisha ya UDSM.
Sikuwahi kumkumbusha Lolote la A"level Baya, Chuo nilimlisha Mimi tangu day one Hadi mwaka wa tatu nadhani alipopata Mkopo baada ya Serikali kusema kuwa mikopo ni ya wanafunzi wote, bado baada ya hapo alipomaliza Chuo hakuwahi kunitafuta na yeye alitangulia kupata KAZI Serikalini tena position nzuri Tu.
Huyu Jamaa Hadi ninavyoandika hapa, atanitafuta akiwa na Shida Tu ila wewe ukiwa na Shida ukamcheki aiseee trust me, huwezi ambulia hata elfu kumi. Ni maisha, nafurahi YANGU yanaenda na yake pia.
Kisa kingine, NAOMBA nisitaje mwaka, niliwahi kufanya KAZI kwenye NGO hizi kubwa Tu hapa nchini, tukapata Mradi Mkubwa sana na Sisi tukawa ndio PR (Prime recipient), kwahio kibunda nilikuepo, kama staffs WA ule Mradi tulikua na group letu la WhatsApp la kwetu Tu ukiacha lile la shirika, kwa bahati mbaya Sana, Mradi ule ulikatishwa mwaka wake wa tatu wa implementation, sasa wenzangu (baadhi) walihamishiwa kwenye miradi mingine na mashirika mengine, kwa bahati mbaya, akina Mimi tukaishia hapo.
Kwa kawaida Ile group iliendelea ku-exist na socialization za hapa na pale, sasa buana, kipindi tuko pale kuna mshkaji Sijui alikua na issue Gani ila mara nyingi sana alikua anaishiwa pesa kabla ya Muda wa salary, Nikawa nampiga tafu Sana na anarejesha bila Shaka.
The day nimekaa bench na yeye alikua miongoni mwa waliopata KAZI kwa NGO nyingine, maana ilikua kama Ile project zinafanana Tu, basi huwezi amini kuna siku nimebanwa na Niko kitaa, nikamrukia hewani jamaa, huwezi kuelewa but Jamaa alinitosa kama sio Mimi vile niliyekua msaada kwake, nikajaribu tena siku nyingine, nikadunda, basi sikuwahi kumcheki tena ila tupo wote kwa group na mara moja moja tunasalimiana japo wengine walivyofanikiwa Tu vipindi kile cha mpito na Kwa group wakajitoa.
Funzo, ishi maisha yako, usitarajie kutenda mema ili ulipwe mema! Mafanikio ya mwenzako got nothing to do with you!
Litaleta furaha bwerere.inaonyesha jinsi ulivyo rafiki mnafiki, unadhani anguko la rafiki yako litaongeza kipato chako?
Kinachofurabisha ni kuona aliyejifanya kafika na kudhadau wengine yamemkuta Sasa ni zamu yake 🤣🤣Nashangaa Kuna watu kibao wamelike Kwa emeji na vicheko na nzuri sijajua Nini kinafurahisha
Hakuna muajiriwa anatunza akiba ,hii wanaweza watu waliojiajiri tuu.Kwa hiyo jamaa ameshindwa kusurvive hata mwezi mmoja kuna kitu hakiko sawa kwenye huu uzi