Kuna jamaa yangu alikua USAID akawa ananifungia vioo, leo kanitumia ujumbe kama nina mchongo wowote nimpasishie

Mwenyekiti wa ujobless nakuheshimu sana.. ila huu uandishi wako unaumiza macho kwakweli.
 
Sasa mbona hao waliojiajiri ndio wengi wao ni maomba omba na wapiga vizinga kwa walio ajiriwa
Duh ila kama kuna ukweli hivi....aliyejiajiri ataenda kwa aliyeajiriwa akitaka amkopeshe maana mzigo umeingia na hana hela ya kuutolea....
Aliyejiajiri atakupigia simu akiomba umkopeshe maana muda wa kulipa fremu umefika......
Halafu kuna waliojiajiri wengine wana roho ngumu yaan akikopeshwa tena hela isiyo hata na riba kurudisha huwa ni kwa mbiinde bin mtiti
 
Ajira za kimataifa
 
Ma HR ndo mlivo sisi watu wa kada flan tunatajana tu
Aisee mimi sitaweza ila mchek mwamba flan kanyooka hana shida
 
Umekaa zako apo sebuleni kwa Mshua umeamua kutupiga fix ili mradi masaa yaende.
 
Acha roho ya korosho mwisho utafanana naye alivyokufanyia.Mpe mchongo mtaweza mkaibuka pamoja.Lipa ubaya kwa wema hutajuta kufanya hivyo mwamba.
 
Maisha Yana tabia ya kukurudisha kwa walewale unaowaona km walikukosea kwa namna Moja ama nyingine, kuwa makin mleta story
 
Kwanini unafuraia baba watoto kupata majanga jaribu kufikiri watoto watabaki hali gani nawewe ikatokea umepoteza kazi hivi vitu sio vya kufuraia ni kuomba Mungu
Hahaha,nalea mwenyewe tangu wanazaliwa,nikifa watalelewa na wengine....Mungu huinua mtu mkuu
Siyo kupoteza kazi tu,nitaumia kaburini nikitangulia kufa kabla hajafa yeye.... Lazima aanguke😡
 
Broo usiwe na huruma kwa rafiki ako ambae alijipata akakuchunia yaani funga vioo kuwa kama michael ob tunaishi dunia ya wanafiki wivu chuki majivuno why alikuona huendani nae akakuacha mataa leo umep nafac tena ukimpa atakuangusha na kukuchoma kwa bosy wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…