Kuna jamaa yangu alikua USAID akawa ananifungia vioo, leo kanitumia ujumbe kama nina mchongo wowote nimpasishie

Mleta mada km inawezekana usilipe kwa ubaya, km una mchongo msaidie ili jamii tuendelee kujifunza kwa makosa!
 
Bora yeye hakuja jf kukusimanga, alipiga kimyakimya, ila wewe si wa kuombwa msaada maana unaweza andika bango kabisa.
 
Hahaha,nalea mwenyewe tangu wanazaliwa,nikifa watalelewa na wengine....Mungu huinua mtu mkuu
Siyo kupoteza kazi tu,nitaumia kaburini nikitangulia kufa kabla hajafa yeye.... Lazima aanguke😡
Ila jua unakosea na hautapata amani ya moyo hata hapo ulipo auna amani sababu uja muacha aende ila Mungu gani huyo unayemsemea wakulipiza kisasi nazani aupo sahihi na haya mambo ni kuomba Mungu tuu na pia post traumatic stress disorder uliyonayo upone
 
Najua njia aliyonipitisha,acha uadui uendelee mpaka kaburini....mi huwa sifake kupenda na huwa sifake kuchukia.........Nimeapa,hii dhambi ndiyo nitakufa nayo.Asante mkuu
 
Mfano wa hizo NGo ambazo watu walipeana connection bila hata ya kuwa na sifa stahiki naanza na...... ( 1). JHPIEGO. (2). MDH. ( 3) EGPAF. (4) ICAP. HIZI NGO WATU WALIPEANA AJIRA KWA KUJUANA SANA TENA NA WENGINE HATA HUO UTAALAMU KWENYE MAMBO YA AFYA ZA WATU WALIKUWA HAWANA.............NILIOMBA SANA AJIRA ENZI HIZO PAMOJA NAKUWA NA DEGREE YA NURSING PAMOJA NA DIPLOMA YA CLINICAL OFFICER SIKUWAHI KUITWA HATA INTERVIEW TU, VYETI NILIVITUPA KABATINI NILIONA NIKIENDELEA KUVIKUMBATIA VYETI NITAKUWA MASIKINI WA KUTUPA , NIKO MTAANI NAFANYA ISSUE NYINGINE KABISA NA MAISHA YANAENDA NAMSHUKULU MUNGU KWA HILI🙌🙌...........MLiokuwa mnata niteseke maisha yangu yote pumbavu zenuuuuuuu, mliokuwa mnatamani nishindwe hata kuwa na familia niharibikiwe kimaisha cumernina zenu nyinyiiiii, mliokuwa mnataka siku moja nije niwapigie magoti kuwaomba msaada nikiwa choka mbaya mbwa nyinyiiii, ....anaepanga riziki ya mtu ni MUNGU TU sio nyie wanadamu kama mnaoenda chooni kama Mimi 🙂🙂
 
Kwahiyo dawa ya moto ni moto?.
 
Daah mshahara 3m per monthy, mtu unashindwa kuweka hakiba kwa ajiri ya kesho.
Wajiliwa wanajisahau sana, yan mtu upo kweny ajira miaka 5-10.. Kibarua kinaota nyas hata mwez hujaisha mtu anaanza kulialia njaa.

Hebu kuwen makin waajiriwa. TOMORROW MONEY ikumbukwe kila dakika
 
watz ni watu wa hovyo sana tuna roho za chuki.
 
We ndio unatatizo
 
Nisamehe Mimi Kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…