Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Mleta mada km inawezekana usilipe kwa ubaya, km una mchongo msaidie ili jamii tuendelee kujifunza kwa makosa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora yeye hakuja jf kukusimanga, alipiga kimyakimya, ila wewe si wa kuombwa msaada maana unaweza andika bango kabisa.Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID, kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per month ilikua ni pesa nyingi mno.
Jamaa akaanza maringo na akawa anatuona akina sisi ambao by that time tulikua majobless sio wa standard zake. Imepita miaka kadhaa hatimae Trump kafanya yake huko.
Jamaa leo kanitumia ujumbe eti nikisikia au kama nina mchongo wowote nimpasishie. Nimemjibu me niko nalima kijijini kwetu kama unaweza njoo tupige jembe, huo ndio mchongo nilionao kwa sasa.
Jamaa hajajibu kitu.
Ila jua unakosea na hautapata amani ya moyo hata hapo ulipo auna amani sababu uja muacha aende ila Mungu gani huyo unayemsemea wakulipiza kisasi nazani aupo sahihi na haya mambo ni kuomba Mungu tuu na pia post traumatic stress disorder uliyonayo uponeHahaha,nalea mwenyewe tangu wanazaliwa,nikifa watalelewa na wengine....Mungu huinua mtu mkuu
Siyo kupoteza kazi tu,nitaumia kaburini nikitangulia kufa kabla hajafa yeye.... Lazima aanguke😡
Najua njia aliyonipitisha,acha uadui uendelee mpaka kaburini....mi huwa sifake kupenda na huwa sifake kuchukia.........Nimeapa,hii dhambi ndiyo nitakufa nayo.Asante mkuuIla jua unakosea na hautapata amani ya moyo hata hapo ulipo auna amani sababu uja muacha aende ila Mungu gani huyo unayemsemea wakulipiza kisasi nazani aupo sahihi na haya mambo ni kuomba Mungu tuu na pia post traumatic stress disorder uliyonayo upone
Kwahiyo dawa ya moto ni moto?.Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID, kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per month ilikua ni pesa nyingi mno.
Jamaa akaanza maringo na akawa anatuona akina sisi ambao by that time tulikua majobless sio wa standard zake. Imepita miaka kadhaa hatimae Trump kafanya yake huko.
Jamaa leo kanitumia ujumbe eti nikisikia au kama nina mchongo wowote nimpasishie. Nimemjibu me niko nalima kijijini kwetu kama unaweza njoo tupige jembe, huo ndio mchongo nilionao kwa sasa.
Jamaa hajajibu kitu.
Roho za chuki zipo hata Marekani.watz ni watu wa hovyo sana tuna roho za chuki.
We ndio unatatizoNgoja nikusapoti kwa visa hivi viwili vya kweli kabisa na kimoja ni cha miaka ya KARIBU Sana Sana
1. Miaka kadhaa nasoma A'level nilikua kama boya Tu, sikua na influence kihivyo na maisha hayakua mazuri sana japo hayakua mabaya Sana, alikuja Jamaa Mmoja, aiseee jamaa hajawahi hata kunisalimia, of course alikua Sahihi maana sikua wa "type" yake. Tulipokua chuo, huko Dar - UDSM nilishangaa napigiwa simu, tena miaka ile Ninamiliki Motorola C25, Jamaa alijitambulisha Sana Kwangu kuwa tulikua wote Darasa moja ila kwa kweli sikumkumbuka, nikakubali tuonane. Anyway, kwa kifupi Jamaa niliishi nae room moja Kwa gharama zangu kwa kipindi chote cha maisha ya UDSM.
Sikuwahi kumkumbusha Lolote la A"level Baya, Chuo nilimlisha Mimi tangu day one Hadi mwaka wa tatu nadhani alipopata Mkopo baada ya Serikali kusema kuwa mikopo ni ya wanafunzi wote, bado baada ya hapo alipomaliza Chuo hakuwahi kunitafuta na yeye alitangulia kupata KAZI Serikalini tena position nzuri Tu.
Huyu Jamaa Hadi ninavyoandika hapa, atanitafuta akiwa na Shida Tu ila wewe ukiwa na Shida ukamcheki aiseee trust me, huwezi ambulia hata elfu kumi. Ni maisha, nafurahi YANGU yanaenda na yake pia.
Kisa kingine, NAOMBA nisitaje mwaka, niliwahi kufanya KAZI kwenye NGO hizi kubwa Tu hapa nchini, tukapata Mradi Mkubwa sana na Sisi tukawa ndio PR (Prime recipient), kwahio kibunda nilikuepo, kama staffs WA ule Mradi tulikua na group letu la WhatsApp la kwetu Tu ukiacha lile la shirika, kwa bahati mbaya Sana, Mradi ule ulikatishwa mwaka wake wa tatu wa implementation, sasa wenzangu (baadhi) walihamishiwa kwenye miradi mingine na mashirika mengine, kwa bahati mbaya, akina Mimi tukaishia hapo.
Kwa kawaida Ile group iliendelea ku-exist na socialization za hapa na pale, sasa buana, kipindi tuko pale kuna mshkaji Sijui alikua na issue Gani ila mara nyingi sana alikua anaishiwa pesa kabla ya Muda wa salary, Nikawa nampiga tafu Sana na anarejesha bila Shaka.
The day nimekaa bench na yeye alikua miongoni mwa waliopata KAZI kwa NGO nyingine, maana ilikua kama Ile project zinafanana Tu, basi huwezi amini kuna siku nimebanwa na Niko kitaa, nikamrukia hewani jamaa, huwezi kuelewa but Jamaa alinitosa kama sio Mimi vile niliyekua msaada kwake, nikajaribu tena siku nyingine, nikadunda, basi sikuwahi kumcheki tena ila tupo wote kwa group na mara moja moja tunasalimiana japo wengine walivyofanikiwa Tu vipindi kile cha mpito na Kwa group wakajitoa.
Funzo, ishi maisha yako, usitarajie kutenda mema ili ulipwe mema! Mafanikio ya mwenzako got nothing to do with you!
Ni kweli kabisa, najua hilo! Ukishajua TATIZO lako it is no longer TATIZO.We ndio unatatizo
ItajeMoja ya ngo kubwa iliyokua inapata ufadhili kutoka usaid.
Nisamehe Mimi KakaMfano wa hizo NGo ambazo watu walipeana connection bila hata ya kuwa na sifa stahiki naanza na...... ( 1). JHPIEGO. (2). MDH. ( 3) EGPAF. (4) ICAP. HIZI NGO WATU WALIPEANA AJIRA KWA KUJUANA SANA TENA NA WENGINE HATA HUO UTAALAMU KWENYE MAMBO YA AFYA ZA WATU WALIKUWA HAWANA.............NILIOMBA SANA AJIRA ENZI HIZO PAMOJA NAKUWA NA DEGREE YA NURSING PAMOJA NA DIPLOMA YA CLINICAL OFFICER SIKUWAHI KUITWA HATA INTERVIEW TU, VYETI NILIVITUPA KABATINI NILIONA NIKIENDELEA KUVIKUMBATIA VYETI NITAKUWA MASIKINI WA KUTUPA , NIKO MTAANI NAFANYA ISSUE NYINGINE KABISA NA MAISHA YANAENDA NAMSHUKULU MUNGU KWA HILI🙌🙌...........MLiokuwa mnata niteseke maisha yangu yote pumbavu zenuuuuuuu, mliokuwa mnatamani nishindwe hata kuwa na familia niharibikiwe kimaisha cumernina zenu nyinyiiiii, mliokuwa mnataka siku moja nije niwapigie magoti kuwaomba msaada nikiwa choka mbaya mbwa nyinyiiii, ....anaepanga riziki ya mtu ni MUNGU TU sio nyie wanadamu kama mnaoenda chooni kama Mimi 🙂🙂