Kuna jamaa yangu alikua USAID akawa ananifungia vioo, leo kanitumia ujumbe kama nina mchongo wowote nimpasishie

Kwani jamaa ana kosa gani?? Huyo mseng€ wa USAID kwanini anaomba msaada kwa aliyekuwa anamuona takataka?? Kwani angekaa kimya au kuendelea ku deal na high class wenzie, jamaa angekuja kutusimulia humu??
 
Inabidi tusaidianee kwa lolote maana effectsutaziona watoto wakirudi home maisha yame change wao hawajuiii....ada sasaaa.....Mungu awarudishe kazini sasa wqtaishi kwa akili kubwa saving
Usimuonee huruma ambaye alikuwa hana huruma na wewe.
 
Una roho ya huruma sana ambayo mimi sina kwa mtu aliyekuwa ananiona takataka.
 
Never have mercy on your enemies..
 
Bora yeye hakuja jf kukusimanga, alipiga kimyakimya, ila wewe si wa kuombwa msaada maana unaweza andika bango kabisa.
Unamuombaje msaada mtu uliyekuwa unamfungia vioo?? Mbona nyie watu mnachekesha sana?? Kwanini asiende kuomba msaada kwa hao high class wenzie??
 
Reactions: apk
Duh mimi pia nishawahi omba MDH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…