Kuna jamaa yangu alikua USAID akawa ananifungia vioo, leo kanitumia ujumbe kama nina mchongo wowote nimpasishie

Kuna jamaa yangu alikua USAID akawa ananifungia vioo, leo kanitumia ujumbe kama nina mchongo wowote nimpasishie

Una Roho ya kimaskini, ulichokifanya kimekuweka kwenye position ya kufanana nae, namshukuru MUNGU sijawahi kuwa na Roho ya kimaskini Kiasi hiki.

Nikikusaidia na ukafanikiwa, nitafurahi Sana, ukifanikiwa kabla Yangu, namshukuru MUNGU maana najua na Mimi Kesho Yangu ipo, nikifanikiwa kwa namna Yoyote ile, nitafurahi kuona nakua na Msaada Kwako.

Kama Una ubaya ni wa Kwako Sio wa Kwangu, siwezi kuumia kwa MTU mwingine kufanikiwa (mafanikio mema lakini) au siwezi kufurahia MTU mwingine akipata shida. Hii ndio Imani Yangu.
Inapunguza stress na unnecessary makasiriko
Kwani jamaa ana kosa gani?? Huyo mseng€ wa USAID kwanini anaomba msaada kwa aliyekuwa anamuona takataka?? Kwani angekaa kimya au kuendelea ku deal na high class wenzie, jamaa angekuja kutusimulia humu??
 
Inabidi tusaidianee kwa lolote maana effectsutaziona watoto wakirudi home maisha yame change wao hawajuiii....ada sasaaa.....Mungu awarudishe kazini sasa wqtaishi kwa akili kubwa saving
Usimuonee huruma ambaye alikuwa hana huruma na wewe.
 
Mssamehe tu mkuu, watu wengi wako hivyo. Mimi classmate wangu mmoja aliwahi kupata kazi benki moja hivi, akapata vijisenti wakati wengine bado tunajitafta, akawa na maringo mengi sana hata kwenye group la darasa letu wa mwaka wetu akajitoa. Miaka michache iliyopita nadhani pale kazini paliota nyasi, akaanza kututafta ambao hatukua na chochote( kwa sasa tuna zaidi ya chochote)

Akaanza kuomba akopeshwe elfu 20, mara 30 eti atalipwa siku flani, siku flani. Akaanza kuomba akopeshwe kiwango cha pesa ambacho mimi siwezi kumkopesha mtu, below 100k sikukopeshi, nakupa tu, sasa ajabu mtu ananiomba nimkopeshe elfu 20 au 30 nikajiuliza sasa hii inamsaidia nini huyu boss?

Mpuuze tu mkuu.
Una roho ya huruma sana ambayo mimi sina kwa mtu aliyekuwa ananiona takataka.
 
Kuna elimu ya kuwa na akiba wengi hawajaijua unavyobahatika kupata mchongo wa pesa nyingi ni lazima uhakikishe unaendelea kuishi maisha yale yale ata kwa mwaka mmoja kutunza kingi ili kesho yake inapotokea crisis yoyote basi unajua unaanzia wapi
Lakini hata hivyo sio jambo jema kufurahia anguko la mtu hata kama ni adui yako
Never have mercy on your enemies..
 
Bora yeye hakuja jf kukusimanga, alipiga kimyakimya, ila wewe si wa kuombwa msaada maana unaweza andika bango kabisa.
Unamuombaje msaada mtu uliyekuwa unamfungia vioo?? Mbona nyie watu mnachekesha sana?? Kwanini asiende kuomba msaada kwa hao high class wenzie??
 
  • Thanks
Reactions: apk
Mfano wa hizo NGo ambazo watu walipeana connection bila hata ya kuwa na sifa stahiki naanza na...... ( 1). JHPIEGO. (2). MDH. ( 3) EGPAF. (4) ICAP. HIZI NGO WATU WALIPEANA AJIRA KWA KUJUANA SANA TENA NA WENGINE HATA HUO UTAALAMU KWENYE MAMBO YA AFYA ZA WATU WALIKUWA HAWANA.............NILIOMBA SANA AJIRA ENZI HIZO PAMOJA NAKUWA NA DEGREE YA NURSING PAMOJA NA DIPLOMA YA CLINICAL OFFICER SIKUWAHI KUITWA HATA INTERVIEW TU, VYETI NILIVITUPA KABATINI NILIONA NIKIENDELEA KUVIKUMBATIA VYETI NITAKUWA MASIKINI WA KUTUPA , NIKO MTAANI NAFANYA ISSUE NYINGINE KABISA NA MAISHA YANAENDA NAMSHUKULU MUNGU KWA HILI🙌🙌...........MLiokuwa mnata niteseke maisha yangu yote pumbavu zenuuuuuuu, mliokuwa mnatamani nishindwe hata kuwa na familia niharibikiwe kimaisha cumernina zenu nyinyiiiii, mliokuwa mnataka siku moja nije niwapigie magoti kuwaomba msaada nikiwa choka mbaya mbwa nyinyiiii, ....anaepanga riziki ya mtu ni MUNGU TU sio nyie wanadamu kama mnaoenda chooni kama Mimi 🙂🙂
Duh mimi pia nishawahi omba MDH
 
Back
Top Bottom