Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiwe chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yao. mkuu usijiingiza kwenye ndoa ya rafiki yako acha wapambane na wayamalize wenyewe.Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani.
Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake.
Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila kukicha.
Kanifungukia kuwa anahisi mkewe sio muaminifu ktk ndoa yao kwa ushahidi kadha wa kadha.
Akaenda mbali akaniambia mkewe hajui kukataa mwanaume yeyote na kila mwanaume anaemtongoza basi yeye anamkubalia.
Jamaa akaniambia kama siamini nichukue number ya mkewe nijaribu kumpiga sound kisha nimpe mrejesho.
Hapa nipo nawaza hii task niliyopewa na jamaa nikiifanya afu shem akatiki nimtafune au nimpotezee tu?
Naombeni mawazo yenu waheshimiwa.
Shunie umepotea sana cheupe, umesema jamaa afanyaje🤣🤣🤣Mkuu mtongoze akikubali mpelekee moto halafu kampe mrejesho wa kila kitu jamaaa yako
Aaaaaiiiih Jamaniiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mtongoze akikubali mpelekee moto halafu kampe mrejesho wa kila kitu jamaaa yako
Achana nae jamaa yako inaonekana yuko too emotional for now so akikaa sawa na akaja kugundua ulimla mkewe mtauwana.Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani.
Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake.
Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila kukicha.
Kanifungukia kuwa anahisi mkewe sio muaminifu ktk ndoa yao kwa ushahidi kadha wa kadha.
Akaenda mbali akaniambia mkewe hajui kukataa mwanaume yeyote na kila mwanaume anaemtongoza basi yeye anamkubalia.
Jamaa akaniambia kama siamini nichukue number ya mkewe nijaribu kumpiga sound kisha nimpe mrejesho.
Hapa nipo nawaza hii task niliyopewa na jamaa nikiifanya afu shem akatiki nimtafune au nimpotezee tu?
Naombeni mawazo yenu waheshimiwa.
Never ever test anybody, if you want to live safely and peacefully. Mtu anayekwambia hivyo anakudanganya (hakwambii ukweli wote). Hata mimi mwanzoni nilikuwa nikisema "I don't care, hata watu wakimtongoza mke wangu." Lakini nikwambie ukweli ni kwamba "I care and protect her as much as I can." Hivyo, usije ukadanganyika ukafanya kosa la "kutesti"! Ukitesti akakubali, je na wewe hapo hautakuwa umetestiwa na kukubali pia? Unaweza ukamtesti na akakuingia kwenye hisia zako (uka'fall in love with her), halafu na yeye akakubali. Halafu mkaanzisha mahusiano ya kimapenzi, unadhani huyo rafiki yako atafikiri kwamba mlianza siku uliyomtesti au umekuwa mwendelezo tu? Take "great care" bro, usije ukaangamia.Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani.
Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake.
Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila kukicha.
Kanifungukia kuwa anahisi mkewe sio muaminifu ktk ndoa yao kwa ushahidi kadha wa kadha.
Akaenda mbali akaniambia mkewe hajui kukataa mwanaume yeyote na kila mwanaume anaemtongoza basi yeye anamkubalia.
Jamaa akaniambia kama siamini nichukue number ya mkewe nijaribu kumpiga sound kisha nimpe mrejesho.
Hapa nipo nawaza hii task niliyopewa na jamaa nikiifanya afu shem akatiki nimtafune au nimpotezee tu?
Naombeni mawazo yenu waheshimiwa.
Mtu asiye na experience ya ndoa si rahisi kujua ups and downs za ndoa. Baadhi ya watu ni wacheshi na wanaoonekana kama rahisi vile, lakini wana msimamo. Unaweza kufikiri umpitie, lakini utakapothubutu unaweza kuingia aibu ya mwaka, anakutangaza kwa watu na unaweza kuingia mgogoro na mke wako, mkaanza kufarakana kwa sababu tu rafiki yako alikushauri vibaya umtesti mkewe. Acha kabisa kama unataka kuishi kwa amani na uishi maisha marefu. Kuna jamaa nilisikia alifumaniwa mahali wahuni wakamfira, kisha wakampakia kwenye pikipiki hadi nyumbani kwake na walipofika wakamwambia mkewe walichomfanyia. Labda na yeye ilikuwa ni kutesti. Sasa faida gani hiyo?Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani.
Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake.
Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila kukicha.
Kanifungukia kuwa anahisi mkewe sio muaminifu ktk ndoa yao kwa ushahidi kadha wa kadha.
Akaenda mbali akaniambia mkewe hajui kukataa mwanaume yeyote na kila mwanaume anaemtongoza basi yeye anamkubalia.
Jamaa akaniambia kama siamini nichukue number ya mkewe nijaribu kumpiga sound kisha nimpe mrejesho.
Hapa nipo nawaza hii task niliyopewa na jamaa nikiifanya afu shem akatiki nimtafune au nimpotezee tu?
Naombeni mawazo yenu waheshimiwa.
Shunie umepotea sana cheupe, umesema jamaa afanyaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaaaaiiiih Jamaniiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Don't risk your manhood..Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani.
Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake.
Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila kukicha.
Kanifungukia kuwa anahisi mkewe sio muaminifu ktk ndoa yao kwa ushahidi kadha wa kadha.
Akaenda mbali akaniambia mkewe hajui kukataa mwanaume yeyote na kila mwanaume anaemtongoza basi yeye anamkubalia.
Jamaa akaniambia kama siamini nichukue number ya mkewe nijaribu kumpiga sound kisha nimpe mrejesho.
Hapa nipo nawaza hii task niliyopewa na jamaa nikiifanya afu shem akatiki nimtafune au nimpotezee tu?
Naombeni mawazo yenu waheshimiwa.
Wacheni kumshauri vibaya mwenzenu jamani, huyo ni mke wa mtu hata kama ana mapungufu yake mshaurini asijiingize kwenye matatizo.Mkuu mtongoze akikubali mpelekee moto halafu kampe mrejesho wa kila kitu jamaaa yako